Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani nasikia leo Dr. Slaa alikuwa Kyela, sasa wadau wa Kyela hebu tujulisheni kilichojiri japo kwa ufupi KAMPENI KWA SIMU ZA MIKONONI NI ZAIDI YA KAMPENI ZA SHUKA KWA SHUKA ZA SALMA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Dr. Willibrod Slaa amesema umasikini wa watanzania hauwezi kuondolewa kwakuwanunulia Bajaji (Pikipiki ya matairi matatu) iliyotolewa naJakaya Kikwete kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Endapo hakutakuwa na mgombea wa Urais ambaye amepata kura zaidi ya asilimia hamsini basi wagombea wawili waliopata kura nyingi zaidi wataenda kwenye mzunguko wa pili ndani ya siku arobaini baada...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ndugu wanajf Mambo mengine yanayoyasikika na kushuhudiwa kwa macho kuhusu uchaguzi mkuu wa 2010, yanastahili kupewa jina moja tu VITUKO VYA UCHAGUZI kwani naamini kuwa huwa ni nadra sana...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimehudhuria Kampeni za kikwete leo hapa Dodoma katika uwanja wa jamuhuri. Mkutano ulianza kwa wanamuziki mbali mbali kutumbuiza na wananchi wakawa wanashangilia sana. Baada ya muda kupita Mgombea...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mimi nikiwa ni mmoja wa watu ninaye penda sana Burdani, nimegundua chama kina uwezo wa kuvunja taratibu za kampeni bila kufokewa na Msajiri wa Vyama vya siaasa wala Tume ya Taifa ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Badala ya kuenzi siku hii kwa kusikiliza hotuba zisizo na mashiko toka kwa wasioenzi ya wanayemuenzi nashauri mwaka huu siku hii itumike kuweka mikakati thabiti ya kuhakikisha mabadiliko ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wanataka kumchangia Mwanaharakati Ndugu Halima Mdee mwaweza kufanya hivyo kama maelezo yake yanavyojieleza hapo chini na vilevile mwaweza kufuatilia mtungo wake UKOMBOZI WA KAWE
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzanians ready for change – Slaa By ThisDay Reporter 28th September 2010 THE presidential candidate of the opposition Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr. Willibrod Slaa, has...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi tumesoma kwenye magazeti na kuona picha jinsi askari wa kutuliza ghasia wakihitimu mafunzo ya kupambana na ghasia. Walikuwa kwenye vifaa vipya na kuonesha kufuzu mafunzo hayo. Moja ya malengo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ZOMEA zomea kwenye mikutano ya kampeni ya CCM jana ilimgeukia mpigadebe aliyejaribu kuingiza masuala ya maisha binafsi ili kumponda mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kukosekana kwa Uadilifu na Uwajibikaji ndani ya CCM kulianza zamani .... mpango mzima huu hapa BongoTz.com UADILIFU NA UWAJIBIKAJI WA VIONGOZI WA TANZANIA Na, Samwel. H. Kasori: (Katibu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba siku ikifika muikumbuke thread hii. Kikwete hafai na amekata tamaa. Sababu ni nyingi lakini sababu kubwa sitaitaja. Kamtu kadogo kama mimi siwezi kukubali kuleta taharuki ya taifa. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NDIO kwa mgombea uraisi wa CUF Pr. Ebrahim Lipumba ,hizo ni habari mpya kabisa ambazo zimeanza kuzagaa mitaani kama moto wa mbugani. Baada ya Dr Slaa kufumaniwa na mke wa mtu katika majukwaa...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Naomba nitoe wosia wangu na waraka huu kwa watanzania wote. Mi nimeshirikisana katika kupiga kura kwa awamu mbali mbali na sijawahi kutoa waosia wa kuwaasa watanzania wenzangu. Ninaomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutokana na watu kuanza kuhofia wagombea kutokukubali matokeo na hata Jeshi kutishia. Ufuatao ni ushauri wangu wa haraka wa kujiandaa kisaikolojia na kuwaandaa wafuasi. 1. Wagombea urais kama Dr...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalam aleikum wanajamvi jamani kuna jambo linanitatiza na natumai kila mtu anachangia kile anachokijua kuhusu hili, ni hivi.wapiga kura wote ni watu wazima wanaojielewa hivi inakuaje mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu wote walioangalia ITV jana, waliona jinsi kiongozi wa TAMWA, Ananilea Nkya alivyolaani kitendo cha JWTZ kujiingiza katika masuala ya CCM. Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa sababu hasa wote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana tuliboreka sana pale Mwembe togwa Wangekuwa na collection ya nyimbo za kimapinduzi kama zile za kwenye filamu ya Sarafina. Uchaguzi uliopita Malawi walikuwa wanazitumia sana. Very patriotic...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asalam
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…