Nini Kimejiri Kyela Kwenye Kampeni za Dr. Slaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini Kimejiri Kyela Kwenye Kampeni za Dr. Slaa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Albedo, Oct 3, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Jamani nasikia leo Dr. Slaa alikuwa Kyela, sasa wadau wa Kyela hebu tujulisheni kilichojiri japo kwa ufupi

  KAMPENI KWA SIMU ZA MIKONONI NI ZAIDI YA KAMPENI ZA SHUKA KWA SHUKA ZA SALMA, PIGIA NDUGUYO MWELEZE UJUMBE WA MABADILIKO
   
 2. h

  hagonga Senior Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo hata kwenye taarifa ya habari sijaona habari ya Dr kule Kyela, hajaenda na waandishi au?

  Watu wa kanda hizo tunaomba habari!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  TBC WAMECHAKACHUA wamazisifadi habari za kyela
   
 4. u

  urasa JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kyela walisema ubunge mwakyembe ila urais ni dr slaa,atakuwa amefunika mbaya sasa wanaogopa umma kujua,dunia ya sasa hakuna cha kuficha
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mie na asume kama kawa kafunika mbaya...mwakyembe upooooooooooooooo
   
 6. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kulikuwa na watu wengi sana na hasa vijana. Dr. Slaa alionekana kama anampigia kampeni Dr. Mwakyembe badala ya mgombea wao.

  Vijana wengi walikuwa wanasema kura ya ubunge Mwakyembe lakini urais Dr. Slaa. Kundi kubwa la vijana ni lile linalomwunga mkono Mwakyembe na ambalo lilimpa ushindi kwenye kura za maoni.

  Wazee na akina mama walikuwa wachache. Kafanya mikutano Matema, Ipinda na Kyela mjini. Sikuhudhuria mikutano ya Matema na Ipinda kwahiyo sijui ilikuwaje.

  Watu walikuwa wengi sana kuliko ule mkutano wa JK. Ila wana CCM ambao mimi nawafahamu walikuwepo wengi, haijulikani kama wanataka kumpigia kura Dr. Slaa au walienda kusikiliza tu mkutano wake.

  Kama hawa vijana wote wamejiandikisha, basi Dr. Slaa anaweza kuwa na kura zake nyingi kuliko nilivyokuwa nafikiria mwanzoni ingawaje bado JK ana nafasi ya kuongoza kwa Kyela kwasababu ya kura za wanawake na wazee na pia mtandao wa CCM ambao uko kila sehemu. CHADEMA hawana uongozi wa kuhakikisha hawa wafuasi wao wanafuatiliwa na kuhakikisha wanapiga kura. Kikubwa hawana watu ambao wako tayari kufa wakilinda kura zao. Washabiki wao wengi ni wale wale CCM ambao wakirubuniwa kidogo wanaweza kurudi CCM.
   
 7. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkulima, thank you for update. Keep it up
   
 8. T

  Tanzanian Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  asante kwa kutuhabarisha, kweli watu sasa wameelimika siyo kama miaka ya 47, watu wametambua kuwa maendeleo yataletwa na uongozi wa Dr Slaa. heko
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  asante peasant,go on
   
Loading...