Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa jinsi mambo yalivyobana nina uhakika ukimwambia Kikwete alambe mchanga Urais anapata atalamba! nani anabisha?:rip: ewe sisi m
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Takwimu mbalimbali machoni pa uongozi wa juu wa CCM zimedhihirisha uchaguzi huu watadondoka vibaya katika Uraisi na Ubunge lakini watapeta katika udiwani. Mwaka 1995, CCM walipoona viti vyote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitumiwa haya matext meseji na na hawa mafisadi. Kama kuna mtu anaweza kustop hii kitu anisaidie. ETI... Tanzania ni kisiwa cha amani.Tunaamini KIKWETE kwa kushirikiana na wananchi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
"TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) IMEVITAKA VYAMA VYA SIASA KUTOA WATAALAM WAO WA WA KOMPYUTA KUJIRIDHISHA NA MFUMO UTAKAOTUMIKA KUJUMLISHA MATOKEO" Nimeziona tetesi hizo facebook,kama ni kweli...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jakaya Kikwete - CCM 45 votes. (17.79 %) Dr Wilbroad Slaa – CHADEMA 194 votes. (76.68 %) Ibrahim Lipumba - CUF 5 votes. (1.98 %) Mutamwega Mugahywa – TLP 0 votes. (0.00 %) Paul Kyara - SAU...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Je kuna mtu ambaye anatumia mtandao mwingine zaidi ya Voda ambaye amepata ile msg ya kumkashifu Slaa inayotoka kwenye namba ya kughushi, yenye code fake ya Finland, moja kwa moja? Imeonekana...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KUNA TETESI KUWA NEC IMEBIDI IANDIKISHE VIJANA WA FORM 6 ILI KUSIMAMIA UCHAGUZI UJAO HII INATOKANA NA WAALIMU KUSUSIA KIWANGO CHA PESA WATAKACHO PEWA CHA SH 55000 kwa zoezi zima la SIKU 5.KIASI...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
:argue: Wanajamii wenzangu, je haya majibu yanasadifu kile kilichokuwa kikidaiwa na walengwa wa lile lalamiko? CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM UFAFANUZI KUHUSU FURSA KWA WANAFUNZI KUPIGA KURA CHUONI...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Tafadhali tujuzeni alivypokelewa future presida huko Bukoba
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (sura ya 343) 30 Juni 2010 inatuelekeza nini? 7(5) Kila msimamizi wa uchaguzi na msaidizi wake wataapa kiapo cha kutunza siri mbele ya hakimu. [ni siri gani hii wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, Kwa taaaarifa ya kutoka kwa mtu wangu wa karibu huko Dar ameniambia Katibu Mkuu wa CCM Yusuph Makamba Kutua Arusha muda wowote kuanzia kesho akiongozana na Jopo la wana CCM Taifa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ndugu wadau, Kuna taarifa nimekuwa nikizipata siku za hivi karibuni kutoka Wilayani Serengeti kwamba mgombea ubunge wa jimbo la Serengeti kupitia chama cha CCM aliandika barua ya kutaka kujitoa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimesoma Habari leo! Mwandishi Steven Peter ameanika wazi kuwa Mbowe ndiye aliyetangaza kumwaga damu kama Chadema isingechaguliwa. Nakumbuka Mh Dr Slaa akiwapa changamoto mjeshi amkamate aliyetoa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
JK amekuwa akiwabeza wapinzani wake kuwa wanatoa ahadi ya kutolewa elimu bure wakati haitekelezeki. Lakini ni JK huyo huyo ambaye siku si nyingi alisema atatoa computer (desktop) kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Ujumbe umefutwa (nakala ipo), ulikuwa unataja majina ya watu moja kwa moja bila kuwa na ushahidi wa wazi. JF HAIPO kumchafua mtu bila kuwa na uthibitisho wa kauli. Mwanzisha hoja akija na ushahidi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Friday, 15 October 2010 Na Hussein Kauli SIKU 16 kabla ya kufanyika wananchi kupiga kura, askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk Valentino Mokiwa amedai kuwa hivi karibuni alipelekewa rushwa...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
By Ansebert Ngurumo SWALI kuu la wiki hii ni hili: Kwa nini Rais Jakaya Kikwete ameogopa kuwatumia wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake akawatumia wanafamilia kutafuta wadhamini...
0 Reactions
112 Replies
10K Views
Yale yaliyomkuta Mrema mwaka 1995 ndio yanaelekea kumkuta Slaa, Naam,,, sio wote wanaokwenda kwenye mikutano yake ni wapiga kura wake... Hayo yamedhihirika katika mkutano wake wa hivi karibuni...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
WanaJF Naelekea kuanza kuamini kuwa NEC wanaweza wesiwe huru kwa katika uchaguzi huu naanza kuamini kuwa NEC iko under remote control ya UWT na imevamiwa na Vijana wa IT wa UWT, mpaka sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
chizi maarufu mjini dodoma almaarufu 'morogoro-dar' au 'usalama wa taifa' amekuwa akionekana katika mitaa ya mji huu; huku akiwa katika mbio kwenye mitaa ya jiji hili, akipuliza kipenga chake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom