Waalimu kususia kusimamia uchaguzi mkuu 2010!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
KUNA TETESI KUWA NEC IMEBIDI IANDIKISHE VIJANA WA FORM 6 ILI KUSIMAMIA UCHAGUZI UJAO HII INATOKANA NA WAALIMU KUSUSIA KIWANGO CHA PESA WATAKACHO PEWA CHA SH 55000 kwa zoezi zima la SIKU 5.KIASI HICHO KINAMLAZIMU MSIMAMIZI KUJITEGEMEA KWA CHAKULA,MALAZI NA USAFIRI WA KWENDA WILAYANI NA KURUDI.KIPINDI CHA NYUMA ILIKUA WANAWAFANYISHA KAZI NDIPO WAJUE MALIPO YAO BAADA YA KUKABIDHI MAKABRASHA,MWAKA HUU WAMEAMBIWA MAPEMA WAKASHTUKA!MIMI NA WEWE TUJIULIZE KAZI MUHIMU YA HATARI UPEWE PESA HIYO UTAIFANYA IPASAVYO?LINGANISHA NA PESA YA PER DIEM YA MBUNGE AU MTUMISHI WA SERIKALI.
 
You are joking!! walimu hao ninaojua mimi au walimu gani mnaosema jamani? Tanzania hii utakuta mmoja anakataa, wengine wanachekelea kukataa.
 
Are teachers most underrated professionals in Tanzania? Huu ndio tunaita ujinga
 
mhh! ngoja nifatilie kwanza maana walimu hawa ni wanafiki sana
 
ccm wanajua wafanyakazi wote wako upande wa chadema. Kama ni hivyo wanafanya makusudi kuwanyima waalimu posho ili wawatumie watoto ili waweze kupata mwanya wa wizi wa kura kupitia kwa watoto wa shule. Chadema kuweni macho!
 
hao dogodogo ndiyo watawamaliza CCM maana hawana uhusiano nao hata kidogo...............
 
It is unfair!mwalimu anapaswa kulipwa pesa sawa na mtumishi mwingine wa serikari anapokuwa anafanya kazi maalum nje ya kituo chake cha kazi!kwa maana hii,wanapaswa kulipwa kiasi cha Ths 65,000/=,kwa siku.Ingawa inaweza kuwa zaidi ya hii,kwani viwango vya malipo hutegemea cheyo cha mtumishi husika,lakini hata hivyo, watumishi wengi wa serikali wanaangukia katika ngazi hii.Pia wanapaswa kulipwa fedha na nauri ya kwenda na kurudi kwenye kituo chake cha kazi!Sasa kwa nini wanataka kuwafanya walimu wajinga.
 
Duh wameweka posho kidogo ili Mafisadi waweze kuwarubuni kiurahisi, mwaka huu kazi ipo
Mkuu una macho makali sana. nakukubali

ccm wanajua wafanyakazi wote wako upande wa chadema. Kama ni hivyo wanafanya makusudi kuwanyima waalimu posho ili wawatumie watoto ili waweze kupata mwanya wa wizi wa kura kupitia kwa watoto wa shule. Chadema kuweni macho!
Kweli kabisa. ccm inaogopa hata kivuli chake ndo maana ishu ya uraisi imehamia kwenye familia zaidi na siyo chamani.

KUNA TETESI KUWA NEC IMEBIDI IANDIKISHE VIJANA WA FORM 6 ILI KUSIMAMIA UCHAGUZI UJAO HII INATOKANA NA WAALIMU KUSUSIA KIWANGO CHA PESA WATAKACHO PEWA CHA SH 55000 kwa zoezi zima la SIKU 5.KIASI HICHO KINAMLAZIMU MSIMAMIZI KUJITEGEMEA KWA CHAKULA,MALAZI NA USAFIRI WA KWENDA WILAYANI NA KURUDI.KIPINDI CHA NYUMA ILIKUA WANAWAFANYISHA KAZI NDIPO WAJUE MALIPO YAO BAADA YA KUKABIDHI MAKABRASHA,MWAKA HUU WAMEAMBIWA MAPEMA WAKASHTUKA!MIMI NA WEWE TUJIULIZE KAZI MUHIMU YA HATARI UPEWE PESA HIYO UTAIFANYA IPASAVYO?LINGANISHA NA PESA YA PER DIEM YA MBUNGE AU MTUMISHI WA SERIKALI.
inawezekana ni kweli mkuu, bado tuamini kuwa ni tetesi ingawa Tanzania inaongozwa kitetesi. mpaka rais anatawala kwa tetesi
 
KUNA TETESI KUWA NEC IMEBIDI IANDIKISHE VIJANA WA FORM 6 ILI KUSIMAMIA UCHAGUZI UJAO HII INATOKANA NA WAALIMU KUSUSIA KIWANGO CHA PESA WATAKACHO PEWA CHA SH 55000 kwa zoezi zima la SIKU 5.KIASI HICHO KINAMLAZIMU MSIMAMIZI KUJITEGEMEA KWA CHAKULA,MALAZI NA USAFIRI WA KWENDA WILAYANI NA KURUDI.KIPINDI CHA NYUMA ILIKUA WANAWAFANYISHA KAZI NDIPO WAJUE MALIPO YAO BAADA YA KUKABIDHI MAKABRASHA,MWAKA HUU WAMEAMBIWA MAPEMA WAKASHTUKA!MIMI NA WEWE TUJIULIZE KAZI MUHIMU YA HATARI UPEWE PESA HIYO UTAIFANYA IPASAVYO?LINGANISHA NA PESA YA PER DIEM YA MBUNGE AU MTUMISHI WA SERIKALI.

wizi wa kura si hufanyika mikononi na machoni mwa hawa walimu? je, ni vipi chadema wamejipanga kuwaelimisha hawa walimu kwamba hata kama wakipewa pesa wale lakini wasichakachue matokeo?
 
Sio mwalimu labda mtu mwingine, waalimu njaa ni kubwa mno na hawana msimamo nawaasa msiwekeze kwa hawa ndugu zangu. Maisha wamewakamata hawaoni wala kusikia.

NEC inawaogopa bure.
 
Hatimae sasa yanaanza kutimia yale niliyowahi kusema kuwa Serekali haina mpango wa kutumia waalimu kwenye uchaguzi huu. Wanaamini kuwa waalimu ni sehemu kubwa nayounga mkono mgomo wa wafanyakazi na wao ndio waathirika wakuu hivyo wangekuwa wagumu kukubaliana na hongo ya aina yoyote ili kuinusuru CCM. Sasa wamekuja na Kidato cha sita. Wao ndo hawataki mabadiliko ya nchi hii?
 
Back
Top Bottom