Jopo la CCM (taifa) kutua Arusha muda wowote kuanzia kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jopo la CCM (taifa) kutua Arusha muda wowote kuanzia kesho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jethro, Oct 15, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Kwa taaaarifa ya kutoka kwa mtu wangu wa karibu huko Dar ameniambia Katibu Mkuu wa CCM Yusuph Makamba Kutua Arusha muda wowote kuanzia kesho akiongozana na Jopo la wana CCM Taifa wengine.

  Na hii ni dhahili kuwa huko Arusha ndiko kuna upinzani wa hali ya juuu sana na nguvu nyingi ya CCM imemwagwa huko kwa kuwa hakuna matumaini yeyote ya CCM kushinda kilahisi.

  Kwani tunavyosikia kila kukicha vijana wengi ni kunyoosheana vidole viwili kuashiria wataipikia kura CHADEMA na hiii yote ni kuwepo na mapungufu ndani ya CCM wilaya ya Arusha esp viongozi wa CCM kutofautiana kwa hali kubwa.
  Pili ni Kampeni ya Batilda ina ndugu wengi kuliko wanachama wa CCM.
  Tatu Serikali ya CCM haijafanya cha maana cha kuwavutia vijana wengi kukipigia kura CCM na wanataka mabadiliko na hii ni kuwapo kwa uongozi mbovu katika mkoa huo kichama/Kiserikali.

  Kutatua hilo ni kuunganisha vijana wa mji huo kuanzia UVCCM na vijana wengine kwani sasa twasikia kuwa kuna uhasama kati ya vijana wanao support CCM ambao ni wachache sana na wanatumia ubabe kwa wale vijana wanao support CHADEMA.

  Pia watizame Athari ya kisiasa baada ya uchaguzi katika jimbo hili maaaana litaacha chuki na ugonvi wa hapa na pale.
   
 2. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Twamsubiri huyo kilaza wa kusawazisha mgawanyiko wa makundi ndani ya kijani !!!!! Arusha kwa sasa watu
  ni kimya kimya, kama ulivyosema wanasalimiana with " V " ... final 31 OCT 2010 !!!
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nasikia Gari la Maji ya kuwasha lisha tua huko na watu huko kwenye ma bar wanapiga kura ati nani atashinda na unakuta CHADEMA wanaongoza na CCM wanashindwa??

  Ivi ni kweli hao wapambe wa Batilda ni watu wa profile za ajabu huko??
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Makamba hana lolote katumwa Bukombe yakamshinda ya AR atayaweza?.Sasa hivi anakubali tu kwa kuwa anapata per diem yake, lakini kutoa suluhu ya matatizo hana uwezo huo.JK alishaambiwa mapema chama chake hakina watu makini wa kukiongoza including yeye JK. Ajiandae kukabidhi hizo ofisi za magogoni hana chake.Mwaka huu ni mwaka wa vyama vya upinzani Hata mkoloni wetu Uingereza mwaka huu kafanya mabadiliko.
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Je ni nini Tatizo hapa esp Kwa Arusha na Nyamagana? Ni Kuwa chama CCM ndicho chenye matatizo? Au ni Viongozi wanao Kiongoza chama ndioa Chanzo cha matatizo? Na kupelekea vijana wengi kusupport Opposition? Na Je ni Hatua gani hawa CCM (viongozi) wajirudi vipi kukubali mabadiliko na wapewe nafasi na hawa vijana ili wawapigie Kura kwa kipindi hiki kilicho baki? Maana Tusije sawa wakapewa upinzani Jimbo ndio niwatanzania wenzao je nao wakishindwa timiza hayo ya vijana wa kizazi kipya iweje?

   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Leo nilikuwa sehemu moja inaitwa SIDO,(kuelekea UngaLtd) ni kijiwe cha kuuza screpa za kila aina, na eneo hilo ni katika yale ambayo CCM walijimilikisha bila Uhalali, na wanadai ni lao...

  Sasa kichekesho ni kwamba kuanzia mwanzo hadi mwisho wa vibanda vya magereji na vibanda vya screpa, ni kama kilomita 1.5, kote kumebandikwa picha za JK na Batilda, hakuna zaidi ya hizo.

  Lakini nikaongea na WAUZAJI hao, wanasema hakuna hata mtu mmoja wa CCM eneo hilo, bali wameweka bendera hizo ili wakae kwa amani na kuruhusiwa kufanya biashara hapo. Nimeamini hivyo kwa kuwa asilimia 70 ya wafanyabiashara hawa ni wachaga, na wana uelewa wa juu sana na siasa za Arusha..Ukikaa nao wanaongea kwa uchungu sana jinsi walivyochoka na chama hiki kikongwe, na wanasema safari hii hawafanyi kosa. Wanasema Lema wa CHADEMA ammekuja kuwakomboa!
  Hakika nimeondoka eneo hilo nikiwa na AMANI, ROHO YANGU IMESUUZIKA, NIKAWA NAIMBA KWA SHANGWE!
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  ccm hawataki kukbali matokeo
   
 8. J

  Jafar JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  2 late
   
 9. J

  Jafar JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hata wale wanaovaa kofia, kanga, vitenge na T-Shirt za kijana na manjano SIO wote wanaifagilia CCM. Ila huwa ni sharti kuwa ukitaka T-Shirt lazima uende mkutanoni, wengine huwa wanavalia pale pale kadamnasi
   
 10. d

  dkn Senior Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  CCM inatakiwa kuangalia tatizo kubwa la kukosa support Arusha siyo kuleta waropokaji kama Makamba. Wananchi hawatabadilika kwa siku moja wapigie kura CCM kwa mambo yanavyoendelea na serikali ya sasa. Strategy ya JK kabla hata ya uchaguzi ilikuwa ni kuhakikisha mafisadi wote wamepelekwa mahakamani na mahakama itoe hukumu haraka iwezekanavyo kwani ushahidi upo wa kutosha...sasa ni too late hata kina Mramba wanatumia akili..mali zote walizokuwa nazo nyingine wameuza, wametumia majina ya watu tofauti na kwasasa ni bure. Hiyo ingeipa serikali ya CCM angalau mvuto, sasa wananchi wanajua kila kitu hakuna tena zama za 1970 ...mawasiliano yapo na wanaotoa habari mbaya za CCM wapo ndani na serikali, wizara na wamechoshwa.
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sorry mawaziri wa JK!!!
   
 12. Tshala

  Tshala JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hahahahahaha! wameangukia pua safari hiii!
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  umeteketeza bomaaa! Dah!
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hapo ni watu wamekichoka CCM au viongozi walioko madarakani?

  Maana kaa ukijua pia ndani ya CCM kuna viongozi safi sana ambao nao wanaitaji mabadiliko sana esp Nyamagana na Arusha pia, Ila kumekuwa na siasa za ihana kwa kuwa fulani ndani ya CCM ana fweza basi yeye ndie mwenye say esp hapo kwenu Arusha mama anapata nguvu wapi maana nasikia wanatembeza siasa za ubabe na kumwaga fweza tuu.

  Me nadhani huko uliko tembelea ingawa wanajua siasa na niwachaga hapo ni kaukabira kamewaingia hao wafanyabiashara wa eneo hilo sasa basi najua hao wapiga kura wanapaswa kumwondoa Diwani wao anae waletea maroroso hapo bila kujari yeye ni wachama gani anatokea bali wapate mchapa kazi na ndiko huko chimbuko lamaendeleo kokote kule duniani kwani viongozi wa ngazi ya chini ndio wako karibu sana na wanachi wa maeneo wakaayo na wakutanapo kwa vikao vya halmashauri ndipo wanapo takiwa kuibana koo serikali za mitaaa nandipo maendeleo yatakuja kwa kasi kuliko kubanana tuu na ubunge pekeyake

   
 15. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Makambaa ndio kwanzaaa anaenda kufukua kaburi la CCM arusha, hilo jimbo si lao tena maana hata Buriani mwenyewe hana mvuto arusha, so hawawezi kulikomboa hilo jimbo hata kidogo.
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  Hakuna mapana yasiyokuwa na ncha chagua.

  Dr. Slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chagua chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


  GO DR.SLAAAAAAA GO IKULU IKO WAZI.........................YULE MPANGAJI AITWAYE JK NA CCM YAKE TUPO KWENYE HATUA ZA MWISHO KUMTAFUTIA PANGO JINGINE LAKINI SIYO HAPO IKULU
   
 17. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kwa details zako au kwa ufahamu ulio nao wadhania Mramba kafikishwa mahakamani kwa Rushwa au Matumizi mabaya ya Ofice?

  Kwani wala rushwa wote hawajafikishwa mahakamani bali wale wote walitumia madaraka yao kuzindesha office za serikali vibaya ndio wako mahakamani, kwani hawaja hukumiwa kwa kura rushwa nadhani ndipo hapo mawakili wa serikali walipo chemka

   
 18. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waje Makamba, Mkapa Kinana na wengine wameambulia patupu
   
 19. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145

  Acha ukweli uwe ukweli watu wanataka siasa za maendeleo na ndipo hawa viongozi wetu wajifunze kwa kujua kwa vitendo najua wanajua ila hawataki kukubaliana na facts za wazi
   
 20. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Kumpeleka Makamba sehemu ambazo zina upinzani mkali kutawadhuru zaidi CCM!
   
Loading...