Swali; Original SMS za uchochezi, zinaingia Voda peke yake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali; Original SMS za uchochezi, zinaingia Voda peke yake?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tuko, Oct 15, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Je kuna mtu ambaye anatumia mtandao mwingine zaidi ya Voda ambaye amepata ile msg ya kumkashifu Slaa inayotoka kwenye namba ya kughushi, yenye code fake ya Finland, moja kwa moja?

  Imeonekana kuwa wengi wanaopata msg hii directly kutoka katika hii namba ya kugushi ni wanaotumia mtandao wa voda, kisha inasambaa katika mitandao mingine ikitokea namba hizo za voda...


  NB: Ile namba ni fake na imetengenezwa hapa hapa Tz. kwani namba za Finland baada ya code number (+358), zinafuata Trakimu tisa (kama ilivyo hapa Tz). Ile namba ina tarakimu chache tu baada ya code number na ikipigwa unaambiwa kuwa haipo!
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii namba siyo ya Finland. Waanzilishi ni voda. Kuna mtu ameanzisha post ya uongo akidai ilitokea mji wa Oulu. Ni upuuzi. Unaweza ukapigiwa namba Tanzania halafu ukasema hii imepigiwa Morogoro au Dodoma au wapi wakati wewe si operator kwenye hiyo kampuni ya simu! Ukweli ni kwamba ni namba ya Tanzania! FULL STOP
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  karibu sana dreamer!..........i agree with ya!
   
 4. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kuna jamaa mmoja wa IT pale vodacom ambae anahusika na huu upuuzi. Kamalizia Bsc electronics pale UDSM mwaka 1999. ameungana na kile kikundi cha miraji pale upanga.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Maharage Chande - Baba yake alikuwa Balozi (right?)
   
 6. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mhh Maharage Chande baba yake alikuwa balozi? hahaha! sidhani kama Maharage anaweza kufanya vitu vya kitoto kama hivi!
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WENGI NINAOWAULIZA NI WENYE MTANDAO YA VODA

  inaweza kuwa kweli MSG origin yake ni VODA
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  12 Okt 2010 ... vijana kadhaa leo nawapa majina ya wawili; maharage chande na edgar .... Maharage Chande, Executive Head of VAS, Vodacom Tanzania huyu chande inaonekana ni ...
  www.jamiiforums.com/.../78248-taarifa-ya-siri-mikakati-ya-kuiba-kura-inavyoendelea-wanabidii-net.html - Zilizo kwenye kache

  HIi thread MOd wameifunga
   
 9. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Na sio tu kuwa origin ni voda, bali pia voda wametoa namba za wateja wao...
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  yah atakuwa ni yeye alimaliza pale Azania A level, na alikuwa mlimani T.96, kweli alimaliza 1999 Electronics, kutokana na yale maelezo ya ile thread inawezakana kabisa ni makakati maalumu wa Voda na CCM
   
 11. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Niliweka hiyo ripoti ya kina Maharage na wenzie kuhusu hujuma wazifanyazo but ikatolewa leo naona watu wamefungua macho
   
 12. H

  Heri JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hamjui Voda inamilikiwa na nani? Board Chairman wake mnamfahamu? Mkijibu haya masaswali utaelewa kinachofanyika
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  Board chairman ni pius msekwa(ccm),mwenye 35% of vodacom equity ni rostam aziz(ccm)...case closed
   
 14. S

  SUWI JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mtoto wa makamba ni afisa uhusiano coda.. ccm wamejazana huko.... kwa nini voda wasishtakiwe kwa kutoa no za wateja wao? kila aliyepata orgn sms hii ni mteja wa voda.
   
Loading...