Elections 2010 Two weeks to go: Nec majina yako wapi?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF

Naelekea kuanza kuamini kuwa NEC wanaweza wesiwe huru kwa katika uchaguzi huu
naanza kuamini kuwa NEC iko under remote control ya UWT na imevamiwa na Vijana wa IT wa UWT, mpaka sasa hawataki kutoa majina bado wanachakachua wanaUWT waliowatuma kwenye field bado wanamalizia kazi.

JUZI nilipanda bajaj kutoka pale Mlimani city to Ubungo, Haya ndo maongezi

Driver wa bajaj: akamuuliza umepata 15,000?

mwenzake :Ya nini?

DRiver: kuna watu wamekuja pale kituoni wanataka shahada ya kupiga kula na kivuli chake, wanachukuwa kivuli chako wanakupa 15,000 alafu wanakwambia usipige kula

Mwenzake: ngoja Nikatoe photocopy nikale 15 yangu

Mytake
Kwa nini hawa wanaUWT wanawafuata watu wenye uelewa mdogo wakiwa na njaa?

VURUGU zikitokea NEC ndo watakuwa wamesababisha

KWANINI NEC WASIWEKE MAJINA KWENYE VITUO SASA HIVI? WANASUBIRI NINI?
 
Back
Top Bottom