Slaa kama huwajui WATANZANIA ndio hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa kama huwajui WATANZANIA ndio hawa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mshirazi, Oct 15, 2010.

 1. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yale yaliyomkuta Mrema mwaka 1995 ndio yanaelekea kumkuta Slaa,

  Naam,,, sio wote wanaokwenda kwenye mikutano yake ni wapiga kura wake... Hayo yamedhihirika katika mkutano wake wa hivi karibuni huko Musoma, ambapo mtangazaji wa BBC alifanya mahojiano na watu kadhaa waliohudhurua mkutano huo na kukiri kwamba WAO WANAKWENDA TU KUMSIKILIZA lakini kura zao ni kwa mwenzie...na wakamtaja jina huyo mwenzie,,,, ushahidi wa haya sikiliza DIRA YA DUNIA ya BBC ya jana October 14.... matangazo hayo yanapatika online.....

  Slaa,,, hao ndio watanzania,,, wanajua vema kupambanua
  teh teh teh.... ila usikate tamaa
   
 2. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :dance:Haya ndio yale ya REDET na SYNOVATE ya kucook tu, "u can fool some people sometime but u cant fool all people all time" Mwaka huu watanzania watafanya maajabu kwenye siasa, sisi tutulie tu maana ahadi zimetolewa tangu CCM ilipokuwa madarakani na hadi leo hazijatekelezwa, Muda wa mabadiliko ni Mwaka huu.Pipooooooooooooooooooooooooz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
 3. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wapiga kura wa mwaka 1995 siyo wa 2010. HATUDANGANYIKI
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Pole sana

  Mafisadi wanapadikiza mtu arafu wanampeleka mtangazaji wa BBC akamuoji

  Mwaka huu hatudanganyiki


  Tanzania Moja yenye neema TAnzannia ya SLAa

  Mungu Ibariki Africa, Mungu azidi kutuonesha mafisadi, Mungu Mbalike Dr Slaa
   
 5. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  kama ndyo hivyo mamilioni ya picha,kofia, tshirt, khanga, mabango na helkpta 3 vyote vya nini?
   
 6. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  1995 ulimpigia kura nani?
   
 7. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu hizo ndio kampeni,, kama uwezo unao kwanini usitumie!?.... ndio lazima utumie na ugharamike hata kama upinzani ni dhaifu lazima kampeni ziwepo na fedha (halali) zitumike.
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Humpati wa kumdanganya hapa,ila usanii wenu tuna ujua tayari
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  POle sana na mawazo mgando
   
 10. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Samahani kama limekuchoma nilikuwa nauliza tu
   
 11. p

  pierre JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unajidanganya mwenyewe,kwa nini wasiende kw wa CCM au CUF au NCCR ikiwa ni kusikiliza tu???Huko ni kujaribu kujipa matumaini,subiri 31.10.2010 uone je wanakwenda kusikiliza tu au pia watapiga kura.Mwamuzi ni sanduku la kura.
   
 12. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Pole sana tunakusamehe bure, yawezekana hujui wapiga kura wa mwaka huu wana tabia gani.Nikusaidie kuwa 50% ya wapigakura wa mwaka huu wana umri kati ya 18-35. Mwenye umri wa miaka 35 mwaka 1995 alikuwa na miaka 20 yawezekana hakujiandikisha kwa kukosa mvuto, mwenye miaka 18 alikuwa na miaka 3, Kwa hiyo wengi wao unawasingizia kuwa walifanya hayo madudu ya 1995 wakati sivyo.Nakusaidia kwa hayo tu
  Pole sana
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama hivyo, ndivyo!basi na wale wanaokwenda kusikiliza mikutano yote ya JK,siyo wote watakaompigia kura,na hao waliyohojiwa na BBC ni mamluki wa CCM!HIZI NI MBINU ZA KIIBA KURA!SAFARI HII MTAKIONA CHA MTEMA KUU NA GREEN GUARD YENU[(This is JANJAWEED(SUDAN),(INTERAHAAM IN RWANDA), 1994]
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mshirazi ebu rudisha kumbukumbu zako way back 2005 TIDO ndo alikopatia u MD wa TBC kama fadhila ya kujikomba kwa JK
   
 15. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Haina maana kumsikiliza mgombea basi uwe ni mwanachama wa chama husika watu wanaenda kusikiliza ili wapate kujua mgombea atazungumza matatizo yao au....?

  Ni hatari sana kufikiria kuwa eti wanaohudhuria mikutano wote watapiga kura ni sawa na kumpa kibogoyo mfupa atafune.

  Najua ukweli unauma sana sipati picha mtakapopata matokea ya uraisi na wabunge hiyo siku ikifika nitakuwa na laptop yangu nawaapdate kutoka makao makuu ya tume ya uchaguzi.

  Namsikitikia sana Slaa angegangamara jimboni chadema wamemtumia kumuua kisiasa bila yeye kujijua ita fika wakati atakuwa kama mrema hata udiwani akisimama watamdondosha.

  Natamani ningekuwa nafahamiana nae nimshauri.
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Wapigakura wa mwaka 1995 siyo wa 2010 kwa sababu zifuatazo:-

  a) Waliojiandikisha mwaka 1995 walikuwa ni wachache sana na wengi waliokuwa wakihudhuria mikutano ya Mheshimiwa Mrema walikuwa hawajajiandikisha lakini kutokana na shahada ya kupiga kura SASA KUWA ni ufunguo wa maisha kwa maana ya kitambulisho ndiyo maana wapigakura wameongezeka hadi kufikia milioni 19.6 kulingana na takwimu za NEC.

  b) Ugumu wa maisha na kukosa shughuli ya kufanya kutafanya wengi ya waliojiandikisha kujitokeza siku hiyo na kupiga kura ya mabadiliko.

  c) Wapiga kura zaidi ya theluthi moja ni wapya walio na umri kati ya miaka 18 hadi 23 na hawana mfungamano wa kihistoria na CCM hivyo angalau asilimia sabini yao watampigia Dr. Slaa kwa sababu CCM imejionyesha ni Chama cha Mafisadi na hakina mpango wa kukisaidia kizazi kipya zaidi ya kukipora jasho lake kama tunavyoona kwa waimbaji vijana wanavyonyonywa na CCM kwenye kampeni zake.

  d) Hata wewe Mshirazi ifikapo siku ya uchaguzi utabadilika na utataka mageuzi ila hutampigia Dr. Slaa kwa sababu ambazo mimi na wewe tunazijua lakini utampigia Prof. Lipumba na CUF

  GO DR. SLAAAAAAAAAAAA GO IKULU AWAITS YOUR LEADERSHIP....................
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kwanza, Afadhali umetuthibitishia vibaraka wa ccm mlivyojipanga kuchakachua matokeo, utuletee update za matokeo kutoka makao makuu ya NEC kwani wewe ndiye Jaji Makame??!!

  Pili, Hata kama ungekuwa unafahamiana nae, asingeweza kukubaliana na ushauri wako, na nadhani kwanza huo si ushauri, unajaribu kufurahisha nafsi yako na kutekeleza majukumu uliyopewa na mafisadi waliokutuma.
  Pole sana, mwaka huu haibiwi mtu.
   
 18. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Usiusemee moyo.. Kama upo hivyo usituringanishe mana tumechokaaaa.
   
 19. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nilimpigia mkapa 1995,sikupiga kura 2000,2005 nilimpigia kikwete.
  NAJUUUUUTA KUWAFAHAMU HAWA WATU......
  .......................2010 sidanganyiki, kura kwa Dr Slaa...........................tupo wengi sana wenye msimamo huu,kama mmeshikilia historia itawaumbua mwaka huu.
   
 20. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,497
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Wanaokwenda kwenye kampeni za CCM wataipigia kura CCM, ila wanaokwenda kwenye kampeni za CHADEMA wanenda kusikiliza tu...........!!! Hahaaaaa CCM bwana mnataka tuamini hivyo. Mbona sasa CCM inahangaika kusomba watu na malori kama mambo yako kama ya 1995.
   
Loading...