Hadi sasa Slaa anaongoza akifuatiwa kwa mbali na Kikwete (Polls) DailyNews | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hadi sasa Slaa anaongoza akifuatiwa kwa mbali na Kikwete (Polls) DailyNews

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Quinine, Aug 20, 2010.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Jakaya Kikwete - CCM 45 votes. (17.79 %)

  Dr Wilbroad Slaa – CHADEMA 194 votes. (76.68 %)

  Ibrahim Lipumba - CUF 5 votes. (1.98 %)

  Mutamwega Mugahywa – TLP 0 votes. (0.00 %)

  Paul Kyara - SAU 1 votes. (0.40 %)

  Peter Mziray - APPT-Maendeleo 0 votes. (0.00 %)

  Richard Kiyabo - National Reconstruction Alliance 5 votes. (1.98 %)

  Total votes: 253

  DailyNews Election Portal | Its all about election

  Wazee hii hali mnaionaje si kwamba nyota njema huonekana asubuhi.
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Haya haya, naona hazipishani na kura zilizoendeshwa hapa JF...Na kwa nini JF wamezifunga?
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Za JF zilikuwa zimekaa kichadema mno !!! lol

  Seriously, naona Daily News wamebadilisha poll yao baada ya ile thread ya Mag3. Maana mara ya kwanza walifanya kugeza JF tu in favor ya one and only one, Mh. Kikwete. But the masses voted in opposite regardless... But again, even now with all the changes that they have put in place to be an all inclusive poll, the same masses are still in favor of Mh. Slaa. I wonder what REDET would make out of these polls. .... ooops, i know, i know wot they would say:... the polls recently conducted online are not resounding enuff to accurately represent the various cross-sections of our society..!!!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  This is not a scientific poll therefore I wouldn't put much stock in it...

  Heck, I don't even trust so called scientific polls anyway....
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Unajua Mkuu Steve, Daily News wanachekesha kweli kweli kwani ni kama vile wako embarrassed na matokeo ya polls wanazozianzisha wenyewe. Ni vigumu kuamini kuwa Daily News inaendeshwa kwa kodi za wananchi, yaani akina Makwaia wamekuwa kama wasemaji wa CCM - angalia leo anavyojaribu kuuma na kupulizia kuhusu mambo ya kihuni yaliyojitokeza katika kura za maoni ndani ya CCM. Kila nikiifungua Daily News picha ninayoipata ni hali ya woga iliyotanda si ndani ya CCM tu bali ndani ya serikali na vyombo vyake. Hali hii kweli inanitisha kwani ni dalili ya mtu anajua atazama na tayari anapanga namna ya kufa na mtu, hayuko tayari kufa peke yake - ukweli ni kuwa CCM wanapanga kuitumbukiza nchi kwenye machafuko kama mambo yatawaendea vibaya.
   
 6. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na iendelee hivyo hivyo mpaka Oktoba 31. Hakuna kukata matumaini.
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yo dude, must be off the cuffs and you probably have forgotten you uttered these:

  From thread: https://www.jamiiforums.com/international-forum/8653-us-election-coverage-2008-a-161.html#post298365

  'Must admit though that your stance on pretty much of this polls thing is resolute and unflinchingly coherent all over. Nonetheless, one above went unchecked and as you would expect, Stevie will always have a gud grip on...!!! lol
   
 8. M

  Mutu JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  inaendana na kwanini siku hizi habari negative za mkwere thread inatulizwa ,post zinatolewa kwa kivuli cha heshima kwa rais,may be poll hio hapa inamdhalilisha rais wetu ahaaaaaaaaaa
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa....well...you know what side I was on, don't you?

  But overall I'm not big on polls
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wishful thinking....
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hope springs eternal!
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hope without a plan is nothing more than a wish..
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  tusirelax na kuona kuwa Dr Slaa ndo keshaingia madarakani, Nguvu ya kweli inatakiwa sasa hili hiyo poll iwe na maana halisi
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  unfortunately,
  wenye access na magazeti kuweza vote namna hiyo hawazidi 10%
  wenye kuweza kujua kuna Peter mziray, kiyabo au mgahywa nchi nzima hawazidi 10%
  wenye access na taarifa kama wasoma daily news au JF, hawazidi 2%

  The sampling frame is biased!!!!

  Kazi kwelikweli!!!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hawezi kuingia, tuwe realistic... anachotakiwa ni ku-target 30-40% parliamentary representation, hiyo ndio sustainable move towards a strong government.... [yani umeshasahau, wizi, na vitisho??? CHINA IS ON THE WINGS]

  KUmbuka procurement ya ballot papers tayari ...YOU KNOW WHAT I MEAN!!!
   
 16. T

  Tata JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  ACID umesema kweli. Kitakachoamua nani anashinda uraisi na ubunge siyo uungwaji wa mkono na wananchi bali uwezo wa kudhibiti rushwa, wizi wa kura, vitisho dhidi ya wananchi, ukandamizaji wa wapinzani na michezo michafu mingineyo.

  Tumeshapata "trailer" kwenye kura za maoni za CCM na tutarajie rafu zaidi itakapofika kwenye uchaguzi wenyewe ambapo itakuwa ni CCM & Government Vs Vyama Vingine Vyote. Natumaini Dr. Slaa na wagombea wengine wote wanajua hilo na wana plan B kuhakikisha kuwa wanakabiliana na CCM, Serikali kuu, Serikali za mitaa, Polisi, Usalama wa Taifa na wapambe wengine wa CCM kwenye kinyang'anyiro cha kura.
   
 17. T

  Tata JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280

  And a plan without implementation strategies is nothing more than a wish list.
   
 18. T

  Tata JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Hajaingia na kuingia siyo rahisi kiasi hicho. Kwa mtazamo wangu hizi polls zinaisaidia zaidi CCM kuliko CHADEMA na vyama vingine kwani zinawajenga hofu CCM na serikali yake na hiyo itawafanya watumie nguvu na mbinu chafu zaidi kupata ushindi wa kishindo.
   
 19. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  i agree with Nyani. Poll haijawakilisha makundi yote. kwa hiyo nawashauri CHADEMA wasibweteke na poll result hii. waende vijijini ... i repeat go to remote areas ambapo chama hakina mizizi sana.. though na TOWN msipasahau!!
   
 20. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  plan without hope is like a deseased body
   
Loading...