Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna dhana iliyojengeka miongoni mwa viongozi wengi wa serikali na taasisi zake kwamba yeyote anayetofautiana na CCM au kuikosoa kwenye public basi ni MCHOCHEZI. Mifano ni mingi, lakini tishio la...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Baadaya ya mkoa ya pwani, morogoro, kilimanjaro, musoma, sumbawanga na mingine mingi kumzibitishia kuwa wanampa kura asilimia 90, sasa Dr Kikwete ana raha anapumzika kwa raha zake, wakati huo...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu wana JF kwa kuwa matatizo ya nchi hii ni mengi kupindukia kwa hivi sasa kama vile mfumuko mkubwa wa bei, umaskini mkubwa kwa wananchi walio wengi, elimu duni,ufisadi,rushwa, katiba ya nchi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
We're polite and progressive by day, more tribalist than even the Kenyans by night By Jenerali Ulimwengu, The East African, Monday, October 18 2010 Further to my take on the creeping...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila mpenda MABADILIKO afanye kwa sehemu yake, wale tutakao weza tuhakikishe tunasimama kama mawakala wa CHADEMA, na wale tuliopata nafasi ya usimamizi naomba tukalinde kura za Slaa, Ushindi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbinu chafu za serikali zashindikana Mwanza, idadi kubwa ya wananchi wa jiji la Mwanza jana walienda uwanjani kusikiliza sera za CHADEMA baada ya jeshi la polisi kuwarushia raia mabomu 8...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania wenzangu mnaoipenda nchi yetu, naomba wote kwa pamoja tufunge mikanda kuelimisha watu fulani ambao inaonekana mawazo yao ni ya zamani sana na inaonekana elimu waliyoipata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
By JENERALI ULIMWENGU October 10, 2010 Murphy’s law states that anything that can go wrong will go wrong. All of a sudden, it seems there are now just too many things that can go wrong in...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Habaar zenu Wana JF Nimetafakali sana na kujua kwa nini Vijana wengi hawatapiga KURA kutokana na HUJUMA za Tume ya Uchaguzi. Yaliyotokea kwa Vijana wa Chuo Kikuu yanareflect vijana wengine wengi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi ni lini hospitali zetu zitakua na vitanda vya kutosha jamani?mabango ya kampeni kila kona wakati huu lakini maisha ya binaadamu hawayaangalii. Oooh tanzania weeeee,nani amewaroga viongozi wako
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uvumi ulioenea jana kuwa kuna lori lina makaratasi ya kupigia kura Tunduma, kama kweli si za kweli basi huenda hizi zikawa ni mbinu nyingine chafu dhidi ya Dr Slaa.. Wanajua kuwa Dr Slaa hana...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
AHADI zinazotolewa na baadhi ya wagombea uongozi nchini katika kampeni zinazoendelea za uchaguzi mkuu zikitekelezwa, huenda zikawaweka Watanzania pabaya, imebainika. Taarifa ya kitaalamu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nimeiona hii Link kweli inaukweli? Tutafakari www.youtube.com/watch?v=17m8OnHC7dQ
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna uvumi unaenezwa kwa watu kuwa iwapo umepokea rushwa/takrima toka ccm alafu ukawasaliti kwa kuwapigia kura wapinzani.Eti iyo karatazi ikipelekwa kwa computer itaonyesha iyo tick ilikuwa ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Fatma Maghimbi kachukua kadi ya CCM leo.Any insights???
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Mwanasaikolojia maarufu nchini Marekani aitwaye Phil McGraw aliwahi kusema kwenye mada zake tuwe waangalifu sana na watu wanaojibu hoja ambazo wala hawajaulizwa. Alisema mtu anapoanza kujibu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Urafiki wa muda mrefu baina ya Godbless Lema na Mawazo Alphonce umefikia hatua ya kutishiana kumalizana kisiasa.Ikumbukwe Lema na Mawazo walikuwa wanachama wa TLP kabla ya kujiondoa na kujiunga na...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Siku chache niliandika hata mwezi haujaisha kuhusu hili la ubebaji watu kutoka kila kona ili wajaze mikutano ya CCM kuwa ni uvunjaji wa sheria kwani kubeba watu ndani ya Malori si sheria kwani wao...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom