Nilishasema CCM kubeba watu kwenye Malori ni kuvunja sheria mmeona yaliyojili Zanziba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilishasema CCM kubeba watu kwenye Malori ni kuvunja sheria mmeona yaliyojili Zanziba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mboko, Oct 20, 2010.

 1. M

  Mboko JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siku chache niliandika hata mwezi haujaisha kuhusu hili la ubebaji watu kutoka kila kona ili wajaze mikutano ya CCM kuwa ni uvunjaji wa sheria kwani kubeba watu ndani ya Malori si sheria kwani wao sio mizigo. Watanzania hope mmeshaona au kusikia yaliyojili kule Zanzibar, kama JK na msemo wake kuwa ni viherehere vyao kwa kupenda kushabikia, wenzenu wako ndani ya Mijitoyota mi VX nyie kwenye mijifuso haya sasa na bado.
  Nyie Wabongo kumbukeni hakuna sheri ya watu kusafiri kwenye malori na CCM wanafahamu hilo sema wao wanasema wajinga ndio waliwao ngoja watushereheshe by the end of the day mnapewa pole ya mdomo hata vijicent vya Paracetamol hakuna.Ndio maana nikasema CCM wana Ma Dr ya kuvunja sheria.Hatudanganyiki real Slaaaaa( PhD)
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Shein ilipaswa akamatwe na timu yake ya kampeni watoe maelezo kuhusu kuvunja sheria za usalama barabarani na kusababisha madhara dhidi ya maisha ya binadamu
   
Loading...