Fatma Maghimbi huyoooooo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fatma Maghimbi huyoooooo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kwanini, Oct 17, 2010.

 1. K

  Kwanini Senior Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fatma Maghimbi kachukua kadi ya CCM leo.Any insights???
   
 2. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  who is she??
   
 3. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Alikuwa mbunge wa CUF.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hiyo taarifa ipo hapa JakayaKikwete2010
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  The former leader of official Opposition in the Parliament and Chake Chake MP on CUF ticket
   
 6. C

  Chamkoroma Senior Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let Conservative leave for Reberal Democratic to take place,it could be bad at that time 1995, today a young of 15yrs(1995) that time is ready to be a member of parliament, on her chance, no lose to loose the lost ideas.
  Peoples!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Waache wakimbilie Titanic. This time hakutakuwepo boti za kuwakomboa.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Siasa maslahi..a.k.a Njaa
   
 9. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Siasa ajira....a.k.a usaliti kwa wananchi..
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Lakini kwa Zanzibar hakuna tena upinzani, bali kuna CCM 1 CCM 2 a.k.a CUF woote ni wale wale tu
   
 11. R

  Rugemeleza Verified User

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha. Sijui nini kimempata Mama Maghimbi sikutegemea. lakini siwezi kutoa hukumu kwani huko CUF sikujui vizuri.
   
 12. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  U couldnt have said it better.....
   
 13. m

  matambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  alitoswa kwenye ubunge kwenye jimbo lake la chakechake huko pemba, may be alianza kutengwa kwenye chama maana hata hakuwa akisikika kabisa kama 1995-2005, ubunge wa 2005-2010 naona alikuwa yupoyupo tu
   
 14. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Kila mfugo utarejea zizini this tyme.
  Zama za hatari hizi. wanatumia majeshi yao ya akiba.
  yataisha na kubakia mabua pekee
   
 15. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Wanasiasa wote hapa Tanzania wanaangalia matumbo yao na familia zao, hivyo sioni ajabu kwa huyu mama ambaye alisha wahi kuwa mkuu wa kambi ya upinzani bungeni kwenda CCM na kuwaponda wapinzani.
  Na wala siku ikitokea Hamad Rashid au Zitto au Dr Slaa kwenda CCM sitashangaa. Na ikitokea siku ccm ikatoka madarakani upinzani ukachua serikali pia sitashangaa kina Ngeleja, Lowassa na wengineo kwenda chama kilichochukua madaraka
   
 16. M

  Mkandara Verified User

  #16
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Haya ndiyo matunda ya Muafaka baina ya CCM na CUF, hivyo CCM wanavuna walichopanda CUF....
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  alishindwa kura za maoni, na chama hakina ulaji kama ccm... angefanya nini na yeye anahitaji mlo?
   
 18. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mkuu Acid !,
  Simtetei Mama Maghimbi,Lakini Mimi kama walivyo wengi hapa nimeshangazwa sana na Mama huyu kuondoka CUF na kurudi CCM.Kati ya Viongozi wa vyama vya Upinzani niliokuwa nawaamini kutokana na michango yao Bungeni na kwenye Majimbo yao ni pamoja na Mwanamama huyu ambaye kwa Taaluma ni mwanasheria.

  Mama Fatma Mussa Maghimbi (64) alikuwa ni Mwanzilishi wa Chama cha CUF,na ana uhusiano wa karibu na Katibu Mkuu wa Chama hicho Seif Sharif Hamad.Mama huyo ambaye ameolewa Bara,na Mmoja wa Waanzilishi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro Mzee Mussa Y.Maghimbi aliingia CUF mwaka 1992 na amekuwa Mbunge wa Chake chake (Mkoa wa Pemba Kusini) toka mwaka 1995.Kabla ya hapo Mama huyo alikuwa mfanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam toka mwaka 1971.

  Pamoja na mambo mengine Mama Maghimbi amekuwa mshiriki wa moja kwa moja wa siasa za Pemba na haswa CUF pamoja na kwamba muda wake mwingi anautumia Dar-es-salaam anakoishi na familia yake,yeye pamoja na Prof.Haroub Othman (RIP) na Mzee Hassan Said ni waanzilishi wa Zanzibar Legal Services Centre (ZLSC),Taasisi inayotoa ushauri na huduma za kisheria bure kwa watu wasio na uwezo,katika vipindi tofauti Mama Maghimbi amekuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni na pia amekuwa Waziri Kivuli wa Mambo ya Katiba na Sheria.

  katika kura za Maoni za CUF zilizofanyika mwezi Mei Mama Maghimbi pamoja na Wabunge wengine 11 walishindwa katika kura za maoni.Inawezekana kuwa Mama Maghimbi kahama CUF kwa sababu za kutofautiana na sura mpya za sasa zilizopo CUF,ambako kumejaa vijana wengi wenye damu ya mabadiliko ya haraka.
  Mama Maghimbi amesoma sheria Chuo Kikuu cha D'salaam mwaka 1989 na baadaye kusoma shahada ya pili ya sheria Warwick, England mwaka 1994.Mama Maghimbi ana watoto 3.
   
 19. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  WAKATI huyu mama akiwa kiongozi wa upinzani bungeni,it was about this time upinzani ulikuwa toothless,na lawama alitupiwa yeye cause she was not up to the task.On her move to CCM hii no opportunist venture na endapo CCM ikishinda anataka a share of the spoils which in the really sense she is not entitled-POLITICS SUCKS!!!!!!!
   
 20. M

  MLEKWA Senior Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waungwana wasiomjua Bi Fatma hawakuni kichwa kwani ni mtu alietumia miaka yake kumi na tano ya Ubunge wa ke huko Pemba kuwaambia Wapemba kuwa Watu wa Bara ni wabaya yeye kaolewa nao na anawajua na alitumia maneno haya kwenye kampeni zake kuwagombanisha watu wa bara na visiwani kwa maslahi yake ya kisiasa , tusubiri sasa ameingia CCM kwani alikua akiwahutubia wana CUF na kuwaambia CCM ni wauwaji wa Wapemba na Wazanzibari sijui leo vipi bibi huyu anakula matapishi yake na kuingia CCM tusubiri tumsikie .
   
Loading...