Macho mnayo ila hamuoni.
Masikio manayo ila hamsikii.
Midomo mnayo ila :tape:.
Laiti mngalijua nguvu ya Kura mnayoichezea, msinge wasikiliza waliobadili maudhui ya chama tunacho kifahamu sote...
dalili zinaonyesha mambo sasa yameiva na muda umefika...toka jana makaratasi ya kupigia kura yameanza kusambazwa kwenda kwenye mikoa mbalimbali yakitokea bohari kuu ya serikali, hali ya ulinzi ni...
For all the remarkable campaign Dr. Slaa has done,with the changes we(Tanzanians) are eager to make and with efforts of newspapers well wishers from and outside tanzania can and ONLY spoiled by...
Kuna hii taarifa ya mwaka ya World Economic Forum inaonesha viashiria muhimu vya uchumi kwa Tanzania. Kwenye vikwazo vikubwa vya kufanya 'business' cha kwanza kabisa 'corruption'. JK na CCM...
Jana usiku nimepata message kupitia namba yangu ya tiGo ikinitaka nimchague mgombea wao Kikwete kwa sera nzuri za CCM. Nilishtuka sana na kujiuliza wameipata wapi namba yangu. Nilipolala nikaota...
Wadau,
Nimetoka kuingia katika website ya NEC ambapo nimeweka nambari yangu ya mpiga kura na kuweza kupata online status ya wapi kituo changu kinapatikana. Taarifa niliyoipata kwenye web pamoja...
what goes around comes around!kutokana na kichwa kikubwa cha habari leo kwenye gazeti la umma habari leo kusema"ahadi za slaa hazitekelezeki",napendekeza pia kesho waandike ahadi zifuatazo za...
ili kumuenzi Jakaya Mrisho Kikwete ningependekeza raisi mtarajiwa akipe chuo cha Saana Bagamoyo Jina la Jakaya Mrisho Kikwete International College on Cultural and Entertainment, na kuongeza...
JK amesema CCM watashinda uchaguzi na kuendelea kushika dola baada ya kufanya tathmini wakati akizunguka nchi nzima kwenye kampeni kwa sababu wanakubalika(Mwananchi 20 Oct. 2010). Tathmini yake...
nasema ushauri kwa chadema maana ndicho chama hapa bara ambacho kinawatia wasiwasi cccm na kinawindwa kila kukicha,
taarifa za tetesi nyingi zilizokwisha fikishwa hadi sasa juu ya hujuma za...
habari wana JF.
31th oct, napiga kura yangu kwa mara ya kwanza na nahisi nawakilisha walio wengi tuu. sasa nawaomba wale wadau ambao walishapiga kura hapo awali kunithibitishia kama kweli kura...
udiwani sasa anavaa nguo rasmi
na Ahmed Makongo, Bunda
MGOMBEA udiwani wa kata ya Balili, kwa tiketi ya CCM, Edda Motte, ambaye hivi karibuni mgombea urais kwa tiketi ya cham hicho, Jakaya...
Francis Godwin ni mzee wa matukio daima: ZITTO KABWE AUZA NGUO ZAKE MKUTANONI KUMCHANGIA MGOMBEA WA UBUNGE SUMBAWANGA MJINI ,WANANCHI WAUNGA MKONO WACHANGIA ZAIDI YA TSH LAKI NANE
Habari za uhakika nimejulishwa na rafiki yangu toka Bukombe kuwa Jeshi la polisi linawashikilia watu waliokamatwa wakinunua shahada ZA KUPIGIA KURA.jESHI HILO IMEBIDI LIFANYE KAZI YA ZIADA...
Kwa zaidi ya miaka mitano wapenda mabadiliko tumekuwa tukiapashana habari, kubadilishana uzoefu n.k kwa kutumia njia mbali mbali ikiwemo jamii forum. Kwa hakika kupitia jf tumenufaika sana na...
Mwalimu wa Nyerere ataka CCM iadhibiwe
Na George Marato
Mwalimu aliyemfundisha baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika shule ya msingi, amesema adhabu pekee ya kukipa Chama cha...
Kwa sisi tulio mbali na mjini tunaomba mtuwekee mchakato majimboni iliyorushwa na TBC 1 jana Jumanne katika jimbo la Mbeya Vijijini.
Natanguliza Shukurani,na Kiswahili yangu ni poa tuu.
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.