CCM Presha Inapanda Inashuka: Video yangu ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Presha Inapanda Inashuka: Video yangu ya leo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kichuguu, Oct 16, 2010.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kichuguu,
  Nimependa ile ya Musoma. Na wimbo wameshawatungia hawa sisi em
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Jasusi....ile ya Musoma ni kali sana aisee..................
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ipi hiyo nyingine jamani, naona nimechelewa sana. Ninajua kuwa hata hii imetokea Musoma. Mdundo wake ni ule wa " Chiliwanu chisunile, omwana bamagega ......."
   
 5. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,609
  Likes Received: 6,774
  Trophy Points: 280
  puuuuresha inapanda inashuukaaa
  puuuuresha inapanda inashuuukaa
  CCM puuuresha inapanda inashuuka

  Wimbo mkali kweli kweli.
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kumbe CCM inawakuna kihivyo...!
   
 7. O

  Ogah JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mwingine uko kwenye link hii hapa
  Documentary

  angalia video #3 kuanzia dakika ya 14 na sekunde 40............tuwamwage majambazi CCM
   
 8. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hapa naona presha inapanda haishuki
   
 9. M

  MLEKWA Senior Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete na Makamba crime wliaoifanya kwa watanzania ni kuchukua mamia ya vijana wa Musoma na kuwafundisha kozi za jeshi kwa siri kupambana na Chadema hii ni sawa sawa na ule uharamia wa Intarahamwe kule Rwanda na Burundi hii nafikiri inabidi watanzania wafikirie kweli CCM inaitakia mema Tanzania .
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,395
  Trophy Points: 280
  Nitawawekea huo wimbo katika MP3 na Youtube in a minute...
   
 11. Mtoka Mbali

  Mtoka Mbali JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli puuuuuureeesha inapanda inashukaaaaa....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  puresha inapandaaaaa inashuka
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wengine ni Wabantu hasa, khaaa!!! KAma Wanyamwezi vile...

  PULEESHA inapanda, inashuka.
   
 14. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hivi CHADEMA ni chama cha wanawake na watoo? Mbona naona wanawake na watoto tu katika video yako.

  Kumbe ndio maana TCIB ilifanya utafiti kwa watoto wa darasa la saba!Jibu nimepata.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. C

  CHAMPUNGA Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haaaaa haaaa.
  Na wewe pia, Puuuuuuuresha inapanda inashukaaaaaa
  Na wengine kama wewe puuuuuuuuuresha inapanda inashuuukaaa
  CCM, puuuuuuuuuuresha inapanda inashuka
   
 16. D

  Darwin JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  slaa.jpg shabiki.jpg
   
 17. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
  But, if you think again, neither does milk."

   
Loading...