Vitisho, Hujuma vitatawala Jumapili 31/10/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitisho, Hujuma vitatawala Jumapili 31/10/2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAMA POROJO, Oct 21, 2010.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135


  Mbinu chafu za serikali zashindikana Mwanza, idadi kubwa ya wananchi wa jiji la Mwanza jana walienda uwanjani kusikiliza sera za CHADEMA baada ya jeshi la polisi kuwarushia raia mabomu 8 yaliyojeruhi baadhi ya raia. Mbinu hii ambayo pia itatumika siku ya uchanguzi kuzuia raia kwa vitisho kutoka majumbani kwao kupiga kura, imekuwa ikiandaliwa kwa muda mrefu sasa, ambapo mafunzo ya kutoa vitisho, na kununua vifaa, magari aina mbalimbali ya zana za kivita yakiwa ni maandalizi ya vitisho vitavyotawala siku ya jumapili ya tarehe 31/10/2010.

  Serikali sasa inawaza ifanye nini baada ya jaribio lao la jana kugonga mwamba, baada ya kipigo walichopigwa raia kwa mabomu wamebaki wakishangaa ujasiri walio nao hawa watu wanapigwa lakini hawakubali kurudi nyuma.


  CHADEMA wanarushiwa mabomu, lakini hawakurudi nyuma, wamemfuata kamanda wao SLAA


  CCM bila pesa, khanga, malori kamanda wao hapati mtu.


  JUMAPILI ni mbele kwa mbele Watanzania mabomu, risasi zitalia lakini hakikisha unapiga kura yako kwa CHADEMA
   
 2. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ikitokea hivyo, vaeni ki CCM, lakini kura muwashangaze
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Sheria za uchaguzi zinakataza kuvaa nguo za chama au kubeba alama ya chama chochote cha siasa katika maeneo ya kupigia kura.
   
Loading...