Embu tutafakari HILI, Nani wa kulaumiwa?

tatizo hapo ni "black crab syndrome".......................jamaa anapiga kelele hajui kuwa yeye mwenyewe ni TATIZO tayari.............matatizo yetu waafrika yanajulikana................ingawaje mengine aliyosema nikutokana na UJINGA wake...................ninachoona zaidi kwa huyo mdini ni SLAVE MENTALITY.................na inafaa aelimishwe kamaHAPA
 
Back
Top Bottom