Angalieni ccm wanavyoumbuliwa na baregu chanel 10....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angalieni ccm wanavyoumbuliwa na baregu chanel 10.......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 24, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yupo baregu na dr mvungi wanampeleke puta kibaraka wa ccm
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  washike adabu yao tanznia ya leo siyo ya vilaza ebooooo
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  au nawe ulichelewa kuiona maana siioni mie naona ustadhi hapo

   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mada ilikuwa nini?
   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye Runinga kumeandikwa

  ARRISAALAH

  Anatoa nasaha kwa wapiga kura TZ

  Yuhu mbona ni ustadhi anatoa tu elimu ya urai kama alivyotoa kakobe na wakamsema vibaya sasa na huyu ustadhi jee nae anakosea au ??

  Mie naona tu ni sawa tu kwa kutoa elimu ya urai ni nzuri sana wala haina tatizo.

   
 6. u

  urasa JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu mlichelewa,moja ya vitu walivyojadili ni uchaguzi kutokuwa wa huru,haki,wazi na shirikishi,
  nec na taarifa zao tatanishi,mara karatasi zinatoka s.afrika mara uk,hapa kuna jambo linafichwa.it was nice
   
Loading...