Kanisa Uchwara Lapokea Pesa Chafu za Fisadi Rostam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanisa Uchwara Lapokea Pesa Chafu za Fisadi Rostam

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 24, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Katika kuonesha kuwa Makanisa mengi yako kibiashara zaidi, Kanisa la Pentekoste Kunduchi limepokea pesa haramu za kifisadi shilingi milioni ishirini kutoka kwa Mtanzania bandia Rostam Azizi huku viongozi wa kanisa hilo wakijua fika kwamba Rostam Azizi ni fisadi na ni mmoja ya watu wanaoyumbisha utawala wa nchi hii kwa kujifanya yeye ni kiranja wa Ikulu ya Tanzania.

  Haya ni matusi makubwa kwa Kanisa la Mungu na ni usaliti kwa Watanzania ambao kila kukicha tunalia na umasikini ulioletwa na kina Rostam na genge lake la wezi.

  Mungu hatawaacha mkapona.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  njaa
   
 3. m

  mbea Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Moderators mko wapi huyu jamaa anatukana/anakashifu imani za watu?Atasemaje eti kanisa letu ni uchwara je la kwake yeye ndio safi?Huyu jamaa inabidi afungiwe mara moja kwa kebei dhidi ya imani za wengine.
  Kwakifupi ndugu yangu hakuna msafi anayeishi duniani hata wewe pia mchafu,acha kabisa kutukana kanisa letu!
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  posts 70 huwezi kunyamazisha watu tuliowahi hata kula ban.

  labda kama hujasikia vizuri: KANISA UCHWARA LAPOKEA PESA ZA FISADI ROSTAM AZIZI
   
 5. e

  emalau JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Njaa mbaya jamani
   
 6. m

  mbea Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuwa na lundo la post zikawa utumbo tuu,kwani wahenga walisema 'ukubwa wa pua si wingi wa makamasi'
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kinyume chake ni true vilevile: unaweza kuwa na posts chache zikawa upupu upupu tu.
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  Kwenda zako wewe anatukana vp hamna imani hapa Duniani inayosema pokea hela chafu labda kama wanaweza kufakikisha hawatatumika! halafu kipindi hiki cha uchaguzi? TAKURURU wapo wapi?
   
 9. KasomaJr

  KasomaJr JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 338
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mbea nakusikitikia kwa kiasi kikubwa mno. Kwani hata hiyo imani unayoitete sina hakika kama unaifahamu au unafuata mkumbo.....I am born again christian, nimekwenda shule ya dunia hii, na hata ya mbinguni, i know alot about religion than u do......Post ya huyu prof. Kama ni kweli na anaweza kuthibitisha hilo, hakika kila mwenye akili timamu, mwenye elimu hata ya darasa la tatu anaweza kujua kosa liko wapi kwa kupokea misaada (Sadaka za Mbwa...rejea maandaiko), ni sawa na kupokea sadaka ya malaya au kahaba anaeuza mwili wake pale Jolly Club au Ohio na kwingineko.
  Hivyo jaribu kuelewa mdogo wangu.

  "If there is light in the soul,
  There will be beauty in the person.
  If there is beauty in the person,
  There will be harmony in the house.
  If there is harmony in the house,
  There will be order in the nation.
  If there is order in the nation,
  There will be peace in the world."
   
 10. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hili kanisa lazima litakuwa uchwara, mnajua huyu mtu mchafu mnamruhusu madhabahuni na kupokea pesa zake chafu, kweli adui muombee njaa hata kinyesi atakula, na wewe kama u mmoja waom ni mchafu pia.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kanisa ambalo sio uchwara ni lipi?i Kweli hapo unakosa heshima kwa imani na uhuru wa watu wengine.

  Makanisa au misikiti au dini zozote hayawezi kukataza kina rostam, chenge na watu wa aina zao kutoa sadaka au misaada. labda kama wanatoa sadaka au misaada kwa masharti hilo ni sual lingine.

  Unaweza kuwa na Hoja nzuri lakini the way unavyoiwakilisha na wewe mwenyewe unaonekana ni part ya kero kubwa
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hey Mbea heshima mbele tunakujua sana wewe unataka sana kuleta mambo ya udini hapa. Rostam anajulikana ni fisadi na yeye ndio unayemtetea hapa sio hilo kanisa unalosema be realistic.
   
 13. C

  Chamkoroma Senior Member

  #13
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wazuri sn naomba sn tutumie sn jamvi hili kwa ukombozi na elimu bora na si bora elimu kwa watako soma,
  nikweli ndugu ametoa post yake akitaka support, lkn kumbuka kuwa huyu jamaa alitoka kwao akafanya alilofanya kupata pesa kwetu, kama tukimweleza azirudishe hayuko tayari kama tukimwambia achangie atafanya bora kipi? na uchafu wa pesa na mtu mwenyewe lkn amni usiamni kama kanisa litatumia kwa uangalifu mkubwa pesa hizo zitaokoa maisha ya watoto yatima wa ki TZ lipi bora kuziacha na watoto wakakosa au wakakawia kupata msaada au kuzichukua kwani ni zetu, kama masai wasemavyo ng'ombe zote ni zao ziliibiwa zamani, wanapokwenda kuiba nikuzirudisha zizini, lkn let us be specific, uchafu wa pesa ni ufisadi wake lkn huduma itawafaa watu wengi sn, na watamshukuru Mungu kwa kupata pesa hizo,kumbuka wana wa Israel walipokuwa wanatoka Misri waliambiwa wakachukue dhahabu na vyombo kwa maadui zao, kwa hofu ya kura tunachukua pesa kwa maadui wa nchi hii,
  Amani huletwa na uvumulivu toka moyoni.
   
 14. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Mungu anawaambia watu wake (kwenye vitabu vitakatifu) kwamba waepukeni waovu wa msishirikiane nao .......
  Viongozi hao wanajua huyu mtu ni mwizi ... yet wanapokea pesa wakijua kabisa ni pesa chafu!!
  Acheni kutetea upumbavu kujustfy njaa zenu ... na huyo mchungaji wenu ni fisi aliyejivika ngozi ya kondoo!
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  It is not about churches comparison

  Exodus 23:8

  And you shall take no bribe, for a bribe blinds the clear-sighted and subverts the cause of those who are in the right

  1 John 4:1

  Beloved, do not believe every spirit, but test the spirits to see whether they are from God, for many false prophets have gone out into the world.
   
 16. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  huyu rostam ameanza kuchakachua hadi makanisa duuuh kweli ccm fisadi lisiloona haya,na hilo kanisa linalokubali kuchakachuliwa linamaanishanini?
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Mama Rwakatare (Nabii wa Uongo) naye jana kajifanya anaombea Watanzania tumchague Kikwete aliyetuchosha (source Mwananchi).

  Wizi mtupu. Anataka ubunge. Anataka kunawirisha shule zake.

  Hatudanganyiki.
   
 18. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #18
  Oct 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kwani rostam hana haki ya kutoa sadaka kwa kanisa au nyumba yoyote ya ibada ? hata kama ana kosa hilo kosa liko mahakamani au ? kama liko mahakamani sio kazi yetu kujadili waache mahakama wamalize kazi yao lakini kama hana kosa lolote aachiwe kuwa huru kutoa michango na aina nyingine ya misaada kwa watanzania kama wafanyabiashara wengine wote
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Dr. Slaa: "Serikali, Mahakama na Bunge kuna muingiliano mkubwa"

  That means hatuna mahakama kabisa.
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe jaribu kuwakilisha hoja yako kwa lugha ya kueleweka na kukubalika. Its not about church comparison wakati umeongelea kanisa. Je kanisa au msikiti linakuwa uchwara kwa vigezo gani? Kwa kupokea au kutopokea pesa za rostam chenge, lowasa ?

  si bora hilo unalooita kanisa uchwara linalopokea Pesa chafu za Rostam. Wanaweza kuwa najustification sababu ni kanisa uchwara ndo maana wanapokea hizo pesa chafu

  Fisadi Lowasa anachangia shilingi ngapi kanisa la KKKT linaloheshimika.???? Ulitakiwa kusema kanisa la pentekoste lapokea pesa za fisadi "XYZ".

  Anyway endelea kushusha vifungu kwa kuwa leo ni jumapili . ni chakula cha roho
   
Loading...