Ahadi hizi zisisitizwe na wagombea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi hizi zisisitizwe na wagombea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'azagala, Oct 24, 2010.

 1. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  ningependa kuona ahadi hizi zinasisitizwa kutoka kwa wagombea
  1. ku explore new opportunities zaidi.
  nchi kama Tanzania ni kubwa sana na ina maliasili nyingi sana. Mf. kuhusu madini huenda yanayochimbwa ni kiasi kidogo sana ukifananisha na yaliyopo - hivyo tungeweza kuelekeza nguvu nyingi katika kutafuta hayo maeneo mengine na tuyachimbe wenyewe. Pia katika mafuta, nk.
  tunapaswa kujifunza kuhusu maliasilli zetu, tuzijue, tuzitafiti, tuchimbe wenyewe. ikiwa tutabaki kusubili wawekezaji watafute wenyewe kama inavyofanyika sasa ndiyo mwazo wa mikataba tunayoilalamikia

  2. kuweka mipango kabambe ya kuhakikisha watu wanafanya kazi kwa bidii na maarifa. lazima tujue ni waTZ wangapi wanafanya kazi ya uzalishaji.
  wakati ule kulikuwa na nguvukazi - kuhakikisha watu wenye nguvu za kufanya kazi hawakai vijiweni.
   
 2. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe upo Tanzania au ndiyo umeamka leo???? Mbona Dr Slaa kaeleza hayo yote au umetumwaaaaaa! Pata habari zote za majibu ya hivyo unavyotaka vitekelezwe Chirbit ( mambo ) - Record, Upload and Share Audio Easily - Micro Podcast - Audio Sound Bites
   
 3. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  acha ushabiki ndugu yangu jana nimeona LIVE hotuba yote - ndiyo maana nasema haya yasisitizwe
  mambo mengi yaliyoongelewa ni kurekebisha makosa yaliyopo kama mikataba nk.

  unamaanisha nini unavvyosema nimetumwa? shame on you
   
Loading...