JK, Shein hawapati watu, picha za 2005 zawaokoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK, Shein hawapati watu, picha za 2005 zawaokoa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Malunde-Malundi, Oct 24, 2010.

 1. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui kwa nini waandishi wanakubali kudanganya wananchi, rais anahutubia mkutano utaona ktk picha watu wamekaa mkutano wa ndani, hii ni nini kama sio kudanganya au siku hizi wanahutubia mikutano ya ndani tu? Nasikia watu wanaenda kuwaangalia wasanii tu wachache wanaoonyesha fiesta ya ccm. Peoples ..........power........
   
Loading...