Tusaidiane kwenye mikoa hii kabla ya uchaguzi..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusaidiane kwenye mikoa hii kabla ya uchaguzi.....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 24, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hivi kwanini mikoa inayoikumbatia ccm hapa tz ni masikini ya kutupwa?mimi ninayoijua ni singida,lindi,mtwara na tabora,jf plz,ni serious ishu haswa tunapoelekea kwenye uchaguzi,tuisaidie wafanye maamuzi sahihi
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,785
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi huu itakushangaza hiyo mikoa................ingawaje umasikini ndiyo nondo ya CCM kubaki madarakani
   
 3. u

  urasa JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  twapaswa kuwafikishia ujumbe kwa namna yoyote ile ili hizi harakati za kuelekea uhuru wa kweli ziwe nchi nzima,pamoja tutashinda
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtaji wa ushindi wa CCM ni ujinga na umaskini wa waTZ. Wanasema tunaongoza kwa ridhaa ya wajinga wengi.
   
Loading...