Kwa nini Wahindi wanapewa DEALS na Vigogo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Wahindi wanapewa DEALS na Vigogo??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Boflo, Sep 1, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sababu kubwa inatokana na uaminifu wao, kwa mfano hili sakata la EPA,Wafanya Biashara wenya asili ya kihindi walitumiwa tu na vigogo wakubwa sana wa nchi hii na wahindi wakapewa percent yao tu!
  Kwa nini vigogo hawapendi kuwapa deals wafanya biashara wazawa kama Mengi na wengine wote wanaojifanya wapambanaji wa ufisadi wakati ni wanafiki wakubwa!..Jibu ni kuwa hawana uaminifu hata kidogo, wanapopewa dealz kama hizo mara nyingi huwa wanataka kuchekechea feza zote....Hii ndio sababu Mengi akaanza kuwaita wenzake mafisadi papa wakati yeye ni nyangumi mkubwa
   
 2. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Unauliza mkia wa mbwa wakati wamwona mbwa? Wahindi ni makwadi(sijui ni kiswahili chenyewe) wa kila kitu. Naliwajua wahindi fulani, hawakunithamini kwa kipindi chote nilichokuwa nao. Kumbe baadae walikuja kujua fani yangu na wakawa wanaihitaji. Walinifuata na wakaniita kwa majina yangu yote, kwa unyenyekevu mkubwa, wakanieleza kilichokuwa mezani. Ilikuwa ni kazi kule Zanzibar, wakaniweka kwenye meli tukafika, tulipokelewa na watu wa serikali, baada ya kumaliza ile kazi niliarifiwa aliyekuwa amepanda taxi na mimi (1989), ambaye alikaa kiti cha nyuma khali mimi nimekaa mbele na driver na huko nyuma walikuwa wanne alikuwa waziri. Nilitamani kukimbia. Mpaka natoa ripoti yangu nilikuwa nasujudiwa na wale wahindi. Nikisema nahitaji taxi wanaiita, chakula wanaleta. Hivi ndivyo wanavyofanywa wenzetu wa kyama kinachotawala. Hawajui linalokuja!

  Baada ya kukabidhi ripoti, moja walichukua muda sana kunilipa kwa kila kisingizio unachoweza kukifikiria. Ripoti yangu ilikubalika serikalini baada ya kuitetea (presentation). Miezi miwili baadae nilikutana na wale wahindi (walikuwa wawili) pale City Council, kama kawaida nikawasalimia, amini usiamini, walinishangaa mimi ni nani, tena kwa dharau kubwa kabisa!

  Uzuri mimi ni mwanataaluma, 1994 walihitaji tena huduma kama yangu, na katika pitapita yao, walishtukia wako tena kwangu, tena sasa katika ofisi yangu binafsi. Walikumbuka jina langu, na kunimwagia sifa tele, na kisha kunieleza kilichowaleta, kwa lugha laini, nyororo, safi iliyojaa kila unachotaka. Kilichofuata siwezi kueleza lakini vijana wangu walikuwa wakali na nilipata shida sana, kumbe nililegea na vijana wangu walijua.....VIGOGO Kueni macho, nakuhakikishieni ikifika wakati mgumu (ombeni Chadema wasichukue nchi) hawatawageukia, afadhali hata Simon PETER alirudi kwa Yesu, hawa watarudi tu kama wana uhakika wa chochote, OLE WENU, JIFUNZENI KWANGU
   
 3. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu nakushukuru sana kwa kuchukua mda wako ili kuelimisha wazawa.
  Baba/Mwalimu/Mchonga/Musa alisema; "unyonge wetu ndio ulitufanya tukatawaliwa"...
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kitu kingine wanapata dili sababu sisi tunawapa dilii hasa zile zenye rushwa sababu "sisi" tunajiona tuko safe zaidi sababuwaowanaonekana n watuwa pembeni.

  Wanahisi siri ya uovu wanaoofanya kumpa dili muindi probalility yakeya kujulikana ni ndogo kuliko ukimpa ngozi nyeusi.

  Mfano mwingine ni kwenda kuchukua rushwa kwa patel haitaji ujasiri sana kama ujasiri wa kwenda kwenda kupkea rushwa kwa masanja.
   
 5. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We know how to run corporate business effectively.
   
 6. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mr Patel you can not fool us. You should say you are good at bribing and dirty tricks in Business. There is no any serious enterprise in Tanzania you can mention that is run by an Indian (at least Indian Tanzanian). We know you peoeple like weak leaders, those who you can manipulate and bribe. like you have always been doing. I know you know that life in Tanzania will be hard for you with clean government, that is why you are dying for Kikwete to win. But you should remember that hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho. We know how you call us, treat us and do to us. You managed to buy our fathers, but that does not mean you can buy us or we can not liberate Tanzania from you. The noose is tightening, just wait and see. If not now then tomorrow will be the day.
   
 7. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  consistency, authenticity,credibility, trust and loyalty
   
 8. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kwanza kumbuka wahindi wanaconnection kubwa nje hivyo ni rahisi kukimbiza hela nje kuliko watu wengine...

  Wahindi ni waaminifu na wanaaminika, kuliko wabongo never been trusted.
   
 9. PlanckScale

  PlanckScale JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  Lumumba amegeuka kwenye kaburi kwasababu ya ulichoandika! :crying::embarrassed1:
   
 10. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  If we can bribe, then you do the same:embarrassed1:
   
 11. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM will win the election, and it's gonna be de javu!
  Catch us if you can!
   
 12. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Ipo siku inakuja na hiyo siku iko karibu nyoote mnaiibia hii nchi mtalia na kusaga meno.siku hiyo ya hatari,yenye kuogofya sana,isio na jina wala mda ii karibu.hakika haizuiliki na NYIE WAHINDI WAHONGAJI MTALIA NA KUSAGA MENO
   
 13. Drifter

  Drifter JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2010
  Joined: Jan 4, 2010
  Messages: 1,968
  Likes Received: 668
  Trophy Points: 280
  Nilipata kusikia kuwa "uaminifu" wao hawa ndio uliomuwahisha Kighoma Malima ahera. Sijui ulikuwa uzushi au la?
   
Loading...