Kuna ujumbe umenifikia sasa hivi kutoka namba 078049550 kupitia mtandao wa zain usemao...
"CHADEMA WAMESHATEKELEZA AHADI YA KUMWAGA DAMU. JUZI WAMEMUUA NDUGU WA MGOMBEA WA CCM MASWA. MJUMBE WA...
Nipo ukumbini hapa DR SLAA na Mbowe wameshaingia Hotelini pamoja na viongozi wengine wa chadema kama Kitila Mkumbo na Mabele Marando maandalizi yanaenda vizuri kwa walinzi kukagua vitu kadhaa vya...
'Janja' yamuokoa JK Karatu
Watu wasombwa majimbo mbalimbali kumnusuru
na Mwandishi wetu, Karatu,
TANZANIA DAIMA
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Mwenyekiti wa Nccr MAgeuzi mbatia james ametangaza kuipeleka chadema mahakamani kama hawatamlipa bilion moja na kukilipa nccr bilion tatu,kwa kuwadhalilisha jana pale kawe.mbatia ameongeza kuwa...
Ndugu wanajamii, nimepata tetesi kuna mpango kabambe utakaoendeshwa na polisi hapa Arusha kwenye majimbo yote ya uchaguzi hapa Arusha , kwa kuwa ccm wameshaandikisha watu wao, watakama woote ambao...
Ni furaha iliyoje kuwa tar. 31 nitapiga kura kwa kuwa jina langu limeonekana kwenye mbao za ambako majina yaliyobandikwa na NEC. Nimehakikisha kuwa na kujiridhisha kuwa nililoliona ni jina langu...
NA DUNSTAN SHEKIDELE,MOROGORO
MAMA mmoja Fatuma Hasani,(pichani, aliyekaa) mkazi wa eneo la Bwawani mkoani Morogoro wiki iliyopita alianguka katikatika ya reli ya kati eneo la Tanesco na kupoteza...
Tuanze hapahapa kujumlisha idadi ya wapiga kura kila kituo inavyowezekana. Ni kiasi cha wewe kutembelea kituo chako na kuweka idadi kama ambavyo majina yalivyobandikwa. Na kama sijakosea majina...
Habari zenu Watanzania wenzangu na poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa letu hili changa.
Baada ya salamu kwenu nimeona si vibaya nikapata ujuzi na uelewa zaidi juu ya masuala mbalimbali ya...
Yaani huwezi amini. Zikiwa zimebaki siku 5 tu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika WASIMAMIZI WA VIYUO VYA KUPIGIA KURA bado hawajafahamika mpaka sasa.
Mimi nipo katika mkoa wa Dar es salaam. Na...
Nini hatima ya wafanyakazi serikalini endapo CHADEMA itashinda??manake naona kama kuna wizara na vitengo vitafutwa kwenye serikali mpya ya chadema, nini hatima yetu au wasi wasi wangu tuu??
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, jana alilazimika kukusanya watu kwa mabasi kutoka Arusha mjini kwenda wilayani Karatu kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wake...
Posted by GLOBAL on October 25, 2010
Na Issa Mnally
Hali ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ali Omar Juma ikielezwa inarejea vizuri, kiwewe...
Wandugu nimeona niwaletee hii bofya hapa yaani ni ulimbukeni wa NEC au wa TANZANIA kwani hii website ya mwaka 2005 mpaka sasa na kwanini wanapost date ya kupigia kura zimebaki 5 days wakati vitu...
Ahadi za Profesa Lipumba na Maalimu Seif(CUF)
1.Elimu ya bure kuanzia msingi hadi chuo kikuu
2.Kubana matumizi kwa kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri
3.Kuunda serikali shirikishi
4.Kusimamia...
Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu...