mwalimumpole
Member
- Oct 17, 2010
- 48
- 0
Au ndio ukamilifu wa methali isemayo kibaya chajitangaza...kizuri chajiuza!
:..... ugomvi wangu ni output baada ya bidhaa hiyo kununuliwa na kukalia Ikulu.
au ndio ukamilifu wa methali isemayo kibaya chajitangaza...kizuri chajiuza!
huko huru kujinadi kwa wananchi kwani vyama vingine vimekatazwa kuweka mabango yao....?????
Pamoja na hivyo, yafuatayo pia ni sababu kubwa sana;Au ndio ukamilifu wa methali isemayo kibaya chajitangaza...kizuri chajiuza!
Huoni kama yeye ni HANDSOME na anapendeza kwenye mabango!Pamoja na hivyo, yafuatayo pia ni sababu kubwa sana;
- Hana uchungu na fedha za walalahoi; na ndio maana mabango hayo yameprintiwa Canada, na kulipwa malipo ya kwanza USD 1.5 million kutoka hazina...!
- Ufisadi uliokaa damuni hadi hata kiwango cha matumizi yanamshinda...! Sasa utangazaji huo umeshafikia hatua ya "Diminishing Returns".....!
- nk.
Hahaaaaa kapiga picha na chege halafu eti imeandikwa mtu wa watu...dash rais kweli tunaye
Huyu jamaa(jey kei) angejiingiza kwenye mambo ya modelling ange funika mbaya...tatizo anachanganya sana madude!!Au ndio ukamilifu wa methali isemayo kibaya chajitangaza...kizuri chajiuza!