At last nitapiga kura tar. 31/10/10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

At last nitapiga kura tar. 31/10/10

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 25, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Ni furaha iliyoje kuwa tar. 31 nitapiga kura kwa kuwa jina langu limeonekana kwenye mbao za ambako majina yaliyobandikwa na NEC. Nimehakikisha kuwa na kujiridhisha kuwa nililoliona ni jina langu na number ya kituo cha kupigia kura nimekifahamu. Hivyo mgombea wangu kipenzi cha watu Dr. wa kweli kura yangu ni kwako siku ikifika. Je wewe mwenzangu emeshahakiki na kuona kuwa umo katika watakaopiga kura?
   
 2. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mi pia safi sana.Kura yangu kwa Slaa,Mbunge ni Mdee. Wewe je?Kura hii ni kwaajili ya kumkomboa mlalahoi.Wewe je?
   
 3. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi na wote wa karibu yangu kura ni kwa Slaa
   
Loading...