Ulimbukeni wa nec

Ulimbukeni wa nec

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Wandugu nimeona niwaletee hii bofya hapa yaani ni ulimbukeni wa NEC au wa TANZANIA kwani hii website ya mwaka 2005 mpaka sasa na kwanini wanapost date ya kupigia kura zimebaki 5 days wakati vitu vuilivyopo ndani vya mwaka 2005,Tafuteni IT wazuri au wakina MODS toeni msaada hapa Max upo?
 
Hao sio wajinga wanajua huu ni "MSIMU" wa mavuno mambo mengine ni baada ya kutangaza kura - wako bize kujadili jinsi ya kuchakachua.
 
Aisiiii Jafar ni kweli kabisa unayoongea kwani kama ulikuwa kwa kichwa changu sasa iweje hii ni Aibu kubwa sana Kwa Taifa la wanyonge kubebwa na Mafisadi Kheri Dr. wa Ukweli aikingie tule kuku
 
Ndiyo maana tunasema tunataka tume huru isiyofungamana na chama tawala chochote kile...............
 
Back
Top Bottom