Elections 2010 Eti wanawake woote wa arusha wanampa kura za ubunge dk. Batilda teh teh!

Gerad2008

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
583
287
Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu wakasema hawajawahi kuwa na makubaliano ya namna hiyo. Hii Batilda anayofanya nini kama siyo kutaka kusambaratisha ndoa za watu wakati tunajua kabisa tumejipanga kupiga kura kifamilia zaidi kumchagua Daktari wa Kweli Slaa na Godbless lema wa Jimbo la Arusha.

Kama si Uongo adhibitishe
 
Mkuu, yawezekana wake zenu ndio wanaowadanganya ninyi. Wameamua kufanya siri. Si unajua zile ziara za Mama wa Kwanza na kampeni zake za shuka kwa shuka? Watu wengine kura zao ni siri kama ya maungamo. Ni yeye tu na Mungu wake.
 
Kama hiyo ndo gia anayoiotea, then kwishney!
Mke wangu amekuwa mpenzi sana wa ccm, hadi juzi juzi ndo nimefanikiwa kumbadilisha, so its a stomach-blow to Batilda once again!...Katika maeneo mengi ya Arusha wanawake wengi mno wamemwona kuwa ni pandikizi aliyetumwa kwa hobby za watu!
Ukipita masokoni kote utashangaa jinsi anavyong'ong'wa!
Mi sielewi kura atazipata wapi zaidi ya zile za mtaa wa Bondeni, na pale Ngarenaro eneo la msikitini.
 
Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu wakasema hawajawahi kuwa na makubaliano ya namna hiyo. Hii Batilda anayofanya nini kama siyo kutaka kusambaratisha ndoa za watu wakati tunajua kabisa tumejipanga kupiga kura kifamilia zaidi kumchagua Daktari wa Kweli Slaa na Godbless lema wa Jimbo la Arusha.

Kama si Uongo adhibitishe

Akina mama wa Arusha wana heshima zao bwana mwambieni Dr Batlida awaombe radhi kwa kuwazulia jambo
 
bora angesema wanaume yan wanawake!!!!??? hawampi wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ili waonekane wanamsapot mwanamke mwenzao
 
kama tu katika Kampeni ameanza kusema uongo na kudanganya watu na heshima zao na akili zao Je Unategemea nini akisha kuwa mbunge na kunywa damu ya kijani? Naomba ajue mchezo wake ni Mauti kwetu jamani
 
anatapatapa huyu mama....hahaaaa kweli mwaka huu kazi ipo ..duhh hivi kweli hii ndo ccm nayoijua inaanguka hivi hivi....hahaaaaa yale yale ya KANU
 
Wana JF,

Kama ni wakina mama wa CCM katika wilaya hiyo ya Arusha Mjini ntaweza kukubali 50/50 kwani kwa jinsi mnavyo tujuza habari za huko khaaa kuna ulakini hao wakina mama wamemwingiza Batilda mjni fulu fulu mzima mzima bila ubishi

Jamani kwa wale wapiga kura wa majimbo ambayo yana joto kali la kisiasa wakaangalie kutizama majina yenu msije mkakuta makaratasi ya majina yenu yame chanwa na ikawa taaabu kweli
 
hivi karibuni mgombea ubunge wa jimbo la arusha mjini kupitia ccm dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa arusha mjini wameamua kumpa kura zao za ubunge. Tuliokuwepo tukawauliza wake zetu wakasema hawajawahi kuwa na makubaliano ya namna hiyo. Hii batilda anayofanya nini kama siyo kutaka kusambaratisha ndoa za watu wakati tunajua kabisa tumejipanga kupiga kura kifamilia zaidi kumchagua daktari wa kweli slaa na godbless lema wa jimbo la arusha.

Kama si uongo adhibitishe
hata mke wa lema anampa
 
Mateso ya ccm kwani yanawatesa wanaume tu??? Batilda alipewa taarifa ya kuwa atapewa kura zote na UWT mkoa Arusha ambalo ni kundi dogo sana. ngoja huyu mama atakavyojishangaa jumapili
 
Jamani mimi ni mwanamke naishi A town, mama yangu, wadogo zangu (na tulivyo wengi), binamu zangu wa kike na wakiume, wa kwa shangazi na kwa wababa wadogo na kwa wajomba hatumpi kura huyo DADA.
 
Hivi Karibuni mgombea Ubunge wa jimbo la Arusha mjini kupitia CCM Dk. Batilda alijigamba kwamba wanawake woote wa Arusha mjini wameamua kumpa kura zao za Ubunge. tuliokuwepo tukawauliza wake zetu wakasema hawajawahi kuwa na makubaliano ya namna hiyo. Hii Batilda anayofanya nini kama siyo kutaka kusambaratisha ndoa za watu wakati tunajua kabisa tumejipanga kupiga kura kifamilia zaidi kumchagua Daktari wa Kweli Slaa na Godbless lema wa Jimbo la Arusha.

Kama si Uongo adhibitishe

ha ha ha kumbuka kuna Beijing munaweza kuwa mumeingizwa mkenge na wake zenu itakuwa imekula kwenu
 
Mkuu, yawezekana wake zenu ndio wanaowadanganya ninyi. Wameamua kufanya siri. Si unajua zile ziara za Mama wa Kwanza na kampeni zake za shuka kwa shuka? Watu wengine kura zao ni siri kama ya maungamo. Ni yeye tu na Mungu wake.

analalama mbona akuuliza zile shuka,na vitenge vya mkewe na tshirt alizokuja nazo akuuliza zimetokea wapi??leo anawaka hivyo ajue hao ndio wana--wa--wake
 
Lakini hizo jitihada kweli anazifanya akiwa na mkakati kuwa akizipata zote za akina mama basi na kuongezea mbili tatu za wanaumme ataibuka kidedea. Huko kutamba kwake ni mkakati wa kuchakachua matokeo na hivyo anawaandaa wapigakura wa Arusha wasije wakapigwa butwaa atakapotangazwa mshindi kwa kuiba kura kibao.............
 
Back
Top Bottom