Idadi ya wapiga kura kituoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idadi ya wapiga kura kituoni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Nikupateje, Oct 25, 2010.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Tuanze hapahapa kujumlisha idadi ya wapiga kura kila kituo inavyowezekana. Ni kiasi cha wewe kutembelea kituo chako na kuweka idadi kama ambavyo majina yalivyobandikwa. Na kama sijakosea majina yamebandikwa tangu leo. Hivyo tujaze kila mmoja wetu mpangilio ufuatao na zitakapoanza kuhesabiwa kura tutajumlisha wenyewe kila tunavyopata matokeo ya kituo bila kusubiri tujumlishiwe na NEC. Najua inawezekana tusipate vituo vya nchi nzima lakini kama kweli tutaacha porojo basi walau vinavyowezekana tunaweza kufanyia kazi:

  Kituo: Tivoli
  Jimbo: Nyamagana
  Idadi: 6,236

  Huu ni mfano. Inaweza kuwekwa katika spreadsheet ikawa bora zaidi.
   
Loading...