Elections 2010 Mbatia aidai chadema bilion 4 kwa kumkashfu

MKUU WA WAKUU

Member
Oct 23, 2010
18
1
Mwenyekiti wa Nccr MAgeuzi mbatia james ametangaza kuipeleka chadema mahakamani kama hawatamlipa bilion moja na kukilipa nccr bilion tatu,kwa kuwadhalilisha jana pale kawe.mbatia ameongeza kuwa atawashtaki tamwa kama hawatampa bilioni moja kwa kumsingizia kuwa anadhalilisha wanawake.du mambo ya fidia bilioni tano hizo!jamesiiiiì.
 
Huyu mbatia naye ni wakutizamwa sana !!!

Habari zilizoenea mtaani kwetu, ni kwamba huyu jamaa ni "shushushu "
 
Siye huyu aliyekihujumu CUF mwaka 2004 alipowekea pingamizi wagombea wao wa ubunge kule Pemba katika chaguzi za marudio (baada ya muafaka) ambako CUF haikupata viti? Atakataa siyo kibaraka wa CCM? Mbona CCM wenyewe wasiweke pingamizi?
 
Huyu Mbatia angekuwa Uganda asingekosa kwenye ile list ya Rolling Stone. Kama anataka pesa amwone Rostam wamalizane
 
mbatia kule kwake vunjo anajulikana kama mtetea, kuku jike anayekaribia kutaga, huwa anapenda sana malongonyi au jogoo, akashtaki na hili pia
 
Back
Top Bottom