Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wazee naona inabidi kusoma 'between the lines', CCM sio wajinga kumwambia Chenge agombee Uspika wanajua attention yenu yote itakuwa kumkataa Chenge, kumbe kuna mtu wao mwingine kajificha atakuja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
UKISHANGAA nguvu ya mafisadi kuhakikisha wanamuweka speaker atakayewalinda, UTAZIMIA ukisikia baraza la mawaziri. Kwa mwenye kusoma nyakati ameshajua kina nani watakuwa mawaziri, kina nani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nahisi kila mmoja wetu ni shahidi wa kazi ya bunge iliyofanyika na bunge lililopita chini ya mheshimiwa Samuel Sitta. Bunge lililopita lilifanya kazi nzuri na hasa ile ya kuruhusu mijadala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau kelele za nini, ujenzi wa mnara wa baberi unaendelea vizuri, baada ya muda si mrefu mataona matokeo. Hata wanyonge , wanamungu pia. Nawakilisha.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Picha hii hapa chini inaweza kufupishwa kwa neno moja tuu - UNAFIKI. Eti Chenge na Sita wanatabasamu kabla ya kikao cha jana kilichowatupa nje wote!!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Am not saying it will happen, but it can happen - Chenge kukutwa na hatia na kesi zake na jimbo la bariadi kuwa wazi, uchaguzi kurudiwa - Dr. kusimama kama mgombea bariadi - This will be the best...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo kadhaa sasa yanaonyesha kuwa watuhumiwa wa ufisadi wana nguvu ndani ya CCM na TZ kwa ujumla.Mfano katika uchaguzi mkuu ulioisha wameripotiwa kuwakampenia baadhi ya wagombea na wamepita...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Fuatilia hapo uangalie mkatunist alivoweka mambo. DORY | Facebook
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ati umefika wakati wa mwanamke kushika muhimili mmoja wa dola. Ratiba hiyo anayo nani? Ikiwa ipo, tuambiwe basi ni lini CCM imepanga mwanamke awe Jaji Mkuu. Si vibaya pia, CCM ikatanabaisha ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Omary Yusuph Mzee,ni aliyekuwa Naibu waziri wa Fedha na Uchumi wa serikali ya awamu ya nne katika kipindi kilichopita,anatajwa moja ya watu makini katika uongozi na shughuli anazo fanya hasa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivo ndo mkatunist alivoiona October 31st 2010
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I have a strong feelings kuwa Marando anaweza kushinda uspeaker hasa kutokana na karata za CCM kwenda ndivyo sivyo why Makundi matatu yatampigia Marando 1.CHADEMA 2.CUF,TLP and NCCR 3.CCM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siyo siri kwamba Mhe. Sita ameleta mapinduzi makubwa kwenye utendaji wa mojawapo ya mihimili ya uongozi hapa nchini. Chini ya uongozi wake wa bunge watanzania wengi wamepata mwamko wa kisiasa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuendeleza katika topic ya Jenerali ulimwengu kuwa CCM walishajifunga magoli matatu, yote yakifungwa na Makamba; (Hat trick), naona sasa Makamba anaongeza goli la nne kwa kusimamia kuondolewa kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sitta, Chenge watupwa Send to a friend Thursday, 11 November 2010 00:16 0diggsdigg Mr Samwel Sitta akiwa ameshika kichwa Habel Chidawali, DodomaKAMATI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kabla ya kufikiria namna ya kumkomboa mtanzania kwenye dimbwi hili la umasikini kimsingi lazima tuanishe STRENGTH NA WEAKNESS zetu hii ikiwa ni pamoja na kuangalia fursa zilizopo ambavyo zinaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka huu wataumwa matumbo ya kuharisha mpaka basi. Serikali haina hata wiki ilishaanza kusafisha mafisadi; na kuumbuliwa within the same week. PCCB wanaipaka mavi serikali ya JK just on the...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Duuuuuuuuuh kweli dunia tambara bovu, Kwa maoni yangu Sitta si mtu wa kunyimwa uspika katika bunge hili ila kwa kitendo cha Chenge kuandaa press conference ya kumponda sitta tena kwa taarifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ule wakati niliokuwa nausubiri sana sasa umefika. Hoja ya Dr Slaa kuwa wabunge wana maslahi makubwa sasa ni wakati muafaka wa kuipigania. Natarajia wapo wabunge ambao watahakikisha na hata kususia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…