Ili tuendelee watanzania tuna nini na tunahitaji nini?

kara

Member
Nov 4, 2010
6
0
Kabla ya kufikiria namna ya kumkomboa mtanzania kwenye dimbwi hili la umasikini kimsingi lazima tuanishe STRENGTH NA WEAKNESS zetu hii ikiwa ni pamoja na kuangalia fursa zilizopo ambavyo zinaweza kutuletea maendeleo cha msingi uongozi ni jambo moja lakini lazma tukubali kuwa mfumo wa elimu tulionao ni tatizo kubwa kwani watu wanadhani vyeti pamoja na transript ndivyo vinavyofanya kazi lakini ukweli unabaki palepale kuwa lazma tubadilike tuache ubabaishaji wa kwenda vyui vikuu kufuata transcript tukafuate ujuzi na tujue kazi ni kujiajiri na kutumia fursa zilizopo tukiendelea na siasa hata kwenye mambo yasiyihitaji siasa basi tukubaki kuchinjwa kibudu na wakenya waganda na wanyarwanda.Tanzania bila umasikini inawezekana kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake.​
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom