Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PAS, Nov 11, 2010.

 1. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone walivojiremba inahusiana na nini kwenye mchango wa mtu bungeni??
  mmesahau enzi za CHIKU ABWAO akiwa nccr alivokuwa anajiremba hadi mkorogo juu, na alikuwa anamchango wa hali ya juu sana bungeni na ninamkubali hadi leo pia pangezi kwa huyo mpiganaji kurudi bungeni..ila kwasasa kazeeka ndo maana mwawaona ni waheshima sana..

  ivo hao kina vicky nao ni mapito kama aliyopitia CHIKU ABWAO cha msingi tujiulize "je wanamchango gani??" hayo mambo ya vikuku ni udaku tu na mambo binafsi kwani wametembea uchi ukitazama hiyo picha??

  Hata halima mdee alikuwa anajiremba kama hao ila mchango wake bungeni na alipotangaza kuwania kawe yule mama RITA MLAKI alifam kabisa kuwa hatapita ivo akakimbilia viti maalum mwaka huu,
  tumeuona mchango wa HALIMA hadi sasa tumempa ubunge kawe..

  tatizo kuna baadhi ya watu wanaleta post za ajabu ajabu matokeo yake memb wote na wageni wanaotebelea jf wasipokuwa makini wanawauna mkono, hivyo tuwe makini zaidi ya hapa.

  Penye mazuri yakiwepo tukubali, na kwenye mabaya ruksa kunena...


  [video]https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-...bungeni-2.html[/video]
   
 2. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #2
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kutumikia mabwana wawili.ni kazi kwelikweli!
   
 3. m

  mmlaponi Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 29, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu ni mnafiki tu!cio Chadema
   
 4. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  mbona umeingia JF bila hodi...
   
 5. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  toka january hadi leo ndo wafungua JF???
  SASA MI NA WEWE NAI MNAFIKI??
   
 6. K

  Kachest Senior Member

  #6
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona siwaelewi elewi au mnataka kusema alikaa kimya kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi sasa ndo anaibuka
   
 7. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nan huyo kaibuka??
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,653
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  Hivi PAS ndiye MS?
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Huyu ni Maralia sugu.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Empty content...Zero material!
   
 11. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Duh! Ameamua kutoka ki-vingine sio?
   
 12. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sio mimi jamani>>>
  mimi ni mwanaharakati wa kujitegemea chadema>>
  ila karibu mgen jiskie kama upo nyumbani chadema
   
 13. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  post za kipumbafu sijui elimu zao walisomea wapi??maana hata sie wa UPE tuna afadhali
   
 14. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  maisha yako nawe ni mafupi kama ya funza... Kaa mbali
   
 15. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  with zerrrrrrrrrrroooooooooooo Braiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnnnnnn
   
 16. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nawe unaefungua post na kuijibu ni nani???
   
 17. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  plus spinal cod................................
   
 18. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Re: Kunya ruksa chadema, akinya ccm kaharisha????

  Conclusion yako ipo sawa "Penye mazuri yakiwepo tukubali, na kwenye mabaya ruksa kunena" Ila maudhui huna...Title imekaa kitaarab sana, kishankupe sana na iwe fundisho kwa wengine ambao wana plan ya kuweka title za ajabu kama zako....
   
 19. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wewe kweli ni muhudhuriaji sana wa taarabu.. Maana wooote wamechangia ila hakuna hata ambae kafanana nawe, vipi wakalia kigogo au magomeni??
  Maana umeifungua harak ukijua kuwa umetoka wimbo mpya wa taarabu...

  pole dada
   
Loading...