Wakuletwa
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 134
- 9
Ule wakati niliokuwa nausubiri sana sasa umefika. Hoja ya Dr Slaa kuwa wabunge wana maslahi makubwa sasa ni wakati muafaka wa kuipigania. Natarajia wapo wabunge ambao watahakikisha na hata kususia posho na marupurupu kibao ili fedha hizo ziende kwenye huduma za jamii kama maji, afya na elimu. Kazi imeanza sasa hatuhitaji hadithi sasa ni utekelezaji tu.:israel: