Kuweni makini , Chenge is just a decoy kuna mtu wao mwingine...

mzozaji

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
255
13
Wazee naona inabidi kusoma 'between the lines', CCM sio wajinga kumwambia Chenge agombee Uspika wanajua attention yenu yote itakuwa kumkataa Chenge, kumbe kuna mtu wao mwingine kajificha atakuja julikana ghafla ili akawatetee mafisadi.
 
Hakuna kitu hapo, kwanini hawamtaki Six? kati ya wote waliochukua kadi (ukimwondoa six) lengo lao ni moja kutetea Mafisadi. Hivi kuna haja ya kujadili hii kitu lakini? tuwaache wachakazane wenyewe kwa wenyewe kama kawaida yao. Tutawasubiri mjengoni....
 
Zaidi ya SIX hakuna spika wa maana pale.
ukitaka kuamini chunguza waliowadhamini tangu mchakato wa maoni hadi uchaguzi.
imekula kwetu hiyo
kisha angalia hiyo NEC ya sisiemu na CC yao ni masters wa ufisadi mtupu
 
CCM wanadharau sana wananchi kwa kumuruhusu Chenge achukue form ya Spika
 
Wazee naona inabidi kusoma 'between the lines', CCM sio wajinga kumwambia Chenge agombee Uspika wanajua attention yenu yote itakuwa kumkataa Chenge, kumbe kuna mtu wao mwingine kajificha atakuja julikana ghafla ili akawatetee mafisadi.

I agree with you 100% chenge siyo mtu wao kuna mtu kaandaliwa six na chenge watatemwa tu..lengo lao ni kumng'oa six
 
Inatisha kwani kuna kila mbinu ya kumtoa Sitta na hii ni siku mbaya ya demokrasia Tanzania, Mr Visenti anadai Sitta alikuwa na maoni yake na anachafua watu? Kinyaa gani hiki? Kwa hiyo hakuna EPA, Radar, Richmond na mikataba batili ya madini. Hayo ni maoni ya mtu aliyekuwa akiipa serikali the best advice kwenye mikataba ya madini ambayo hata Rais anakubali haina masilahi kwa Taifa, Ninawingi wa heshima kwa wananchi wa Bariadi Magharibi kwa kumchagua. Je akiwa mwanasheria mkuu aliipa serikali ushauri bora uliojari maslahi ya Taifa? Na visenti kwenye offshore account ni vya yatima gani hao? Anatufanya watanzania wote mbumbu? Hanging its too good and I hope you read this. :A S angry:
 
Wazee naona inabidi kusoma 'between the lines', CCM sio wajinga kumwambia Chenge agombee Uspika wanajua attention yenu yote itakuwa kumkataa Chenge, kumbe kuna mtu wao mwingine kajificha atakuja julikana ghafla ili akawatetee mafisadi.


:thinking: Jamani hivi watanzania kweli hatuna macho au masikio? Huyu vijisenti kwanza hajalipa pesa zetu, pili mkewe kawaua hawala zake na gari isiyoandikishwa halafu yeye anajitanguliza na kumwambia akimbilie nyumbani ili yeye asingizie kuwa ndiye amepata ajali na kuwaua hao dada wawili! Je hii ni haki kweli. Bado vijisenti anaendelea kuwachanganya watanzania. Na sasa eti anataka kugombea Uspika? Haya nyie endeleeni tu kuwaunga mkono hawa majambazi wa CCM mpaka hapo nchi itakapobaki ukoko ndo tutatambua kuwa tumeliwa.

Kama kweli Chenge ana akili na busara, nadhani angekaa kimya na kuwamkweli kuhusu vijisenti vyetu na haya mauaji ya hawa mabinti yaliyofanywa na mtu mwingine lakini yeye anatumia cheo na uzoefu wake ili siri isitoke. Wote wanajua ni nani alitenda hicho kitendo lakini hamna wa kupiga hilo debe kwa vile ni VIJISENTI anahusika.


Hili Taifa linaelekea wapi?:evil:
 
Hawezi kuchukua fomu maana hali bado si shwari.


Change anababaisha ili afiche madhara aliyofanya mkewe ya kuwaua hawala zake kwa gari isiyo na leseni, yeye kufika kwenye tukio akampa mkewe gari ingine na yeye kubaki pale na kusingizia kama ni yeye ameua. Jamani hivi watanzania kweli hatuna macho? Fomu ya Uspika ni ghelesha tu ya kuficha madhambi yake. Kwanza VIJISENTI vyetu bado tunamdai hajavirudisha, then tumpe na Uspika? Ama kweli sisi mbumbumbu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom