Watakwenda na maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watakwenda na maji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kiherehere, Nov 16, 2010.

 1. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Wana Jamii, Mbowe, Ndesapesa na wengineo kwenye CHADEMA (CCM ni mpaka Kikwete achilia hawa wengine)nao waombe mungu siku sheria ya KUTENGANISHA BIASHARA NA SIASA kipitishwa hatutawasikia tena. Nipeni wafanyabishara wengine:-
  1.Rostam Aziz
  2.Edward Ngoyaye Lowasa
  3.Mwakyembe (anabiashara ya kampuni ya kufua Umeme wa upepo)
  4.Dewji
  5....

  Kwa nini hawa pesa zao wasitumie kama Sabodo? alafu waache wakulima na wafanyakazi waende kuwatetea wananchi kwenye bunge kwa moyo wooote?.Wasaidie jamii husika katika majimbo kama kweli wanao moyo wa uchungu?.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sheria bado haija'take-off..Why should we discuss mambo ya "Sungura akasema..:doh:"
   
 3. apakati

  apakati Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unakosea, haimaanishi kama mimi ninamiliki mabasi yangu sasa nimekuwa mbunge niyaache ama niachane na biashara hiyo, si kweli hata kidogo, ni kwamba kwa vile wewe unaingia siasani, zile biashara zako unakabidhi waendeshaji wengine (Delegates) kwa mfano kama wewe ni Managing Director na unatakiwa ofisini kila siku, unamwajiri mwingine, unabaki kupata ripoti ya kampuni yako na unaendelea kutinga mjengoni, jamani unataka kusema Obama, Bushi, Clintoni wanakaa tu kusubiri mshahara wa White house? Wewe si hivyo. Hata wewe kama una ndoto za siasa endelea tu na hizo biashara zako ipo siku ukiingia utakabidhi watu nawe unakuwa msimamizi wa mbali huku unatumikia Taifa.
  Marufuku kusukumia dili katika kampuni yako, ila unaruhusiwa kuomba tenda kama wenzako kwa ushindani wa kawaida na ukubali kupata ama kukosa tenda!!
  Nikosolewe kama siko sahihi.
   
 4. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma hapo apakati, ila kumbuka kwa misingi ya ufuatiliaji wa milki za kampuni kwa hapa tanzania ni mdogo.Mifano hipo mingi, kifupi unamaanisha KWA MTAZAMO WAKO sheria hiyo haiwezi kufanya kazi hapa kwetu?? Ninasema hivyo kwa kuwa muundo wa serikali yetu katika kufuatilia miliki na mapungufu ya uwajibikaji na uwazi wa miliki BADO SAAANA.
   
 5. i

  ifolako Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utaona wajinga wanatetea ujinga wao!
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  wakulima na wafanyakazi ni sera ya CCM ya nyerere sio hii
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Alafu umesahaau kitu kingine. Unahakikisha tenda zote kwa namna yoyote zinapitia kwenye kampuni zako hata kama wewe si managing director tena na ukiona zinaleta noma unatengeneza kakampuni kengine zinazunguka kupitia kakampuni hako ili mradi zikufikie.:smile-big:
   
Loading...