Elections 2010 JK agwaya kutaja wabunge wa kuteuliwa?

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
45
Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.

Mwaka 2005 nafasi nyingi zilikuwa za "kulipa fadhila" mfano: yule zuzu Tom Mwang'onda, Yusuf Makamba, RC Mbeya etc. safari hii uteuzi huu utaonesha kuwa JK ana nia ya kubadirika au ni yule yule tu.
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,957
4,630
Safari hii sio tu kazi ya kutaja wabunge wateule bali kila atakapogusa ni pa moto.
Hakuna mteremko kama 2005.
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
45,886
101,877
Atawataja leo jioni, wataapioshwa kesho mchana baada ya kumwapishwa Pinda mpya, na atawatangaza mawaziri siku ya Ijumaa saa 4 Asubuhi pale Ikulu Dar es Salaam.
 

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,765
544
JK hana jipya anapangiwa safu ya uongozi kwa maslahi ya mafisadi wachache, tumeshaona kwa spika na naibu wake waliopitishwa na bunge la ccm wiki iliyopita.

mimi sioni jipya ila tukaze buti kwa miaka mitano tena.
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,558
Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.

Mwaka 2005 nafasi nyingi zilikuwa za "kulipa fadhila" mfano: yule zuzu Tom Mwang'onda, Yusuf Makamba, RC Mbeya etc. safari hii uteuzi huu utaonesha kuwa JK ana nia ya kubadirika au ni yule yule tu.Hata la PM ameshindwa kuliwakilisha.
 

Muro

Senior Member
Oct 27, 2010
167
3
Wakuteuliwa ni Kngunge Ngombale Mwiru (90 yrs), Yusuph Makamba(80 yrs),Said Said Kalembo(80yrs),Samwel Malechela(80yrs),Zakia Meghji(75yrs) na wengineo kwani hapendi vijana
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,558
Wakuteuliwa ni Kngunge Ngombale Mwiru (90 yrs), Yusuph Makamba(80 yrs),Said Said Kalembo(80yrs),Samwel Malechela(80yrs),Zakia Meghji(75yrs) na wengineo kwani hapendi vijanaAwamu hii hataki warembo?
 

pierre

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
211
7
Nafikiri hana direction,hajui nini anachotakiwa kuacomplish for this five years ahead,hivyo inakuwa vigumu kuchagua.Maana mtu ajuaye afanyalo hana shida kujua huyu atanifikisha niendako.Imagine unaenda Tanga tokea Dar kinachofanyika ni kwenda kituoni ukiwa na tiketi yako katika muda muafaka na kupanda gari ready kwa safari.Hali kadhalika uongozi na hatima ya taifa letu,ukijua where as a nation we are heading hakuna tabu ya kupata viongozi.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom