Makongolo Mahanga Amekula Kiapo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongolo Mahanga Amekula Kiapo??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Nov 14, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Naomba kujua kama huyu jambazi naye alikula kiapo cha ubunge maana alichakachua kura na lazima uchaguzi urudiwe, vinginevyo hataweza kutawala jimbo letu la Segerea.
   
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  segerea tumempa kura na ndio hivyo keshaapa jiandaeni kwa 2015..kesi itahukumiwa 2015 june..kazi kweli kweli
   
 3. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Watanzania tuache unafiki na tusimamie haki na kweli, Mahanga mwenyewe anatambua wazi kuwa hajashinda ila kachakachua ushindi wa Ndugu Mpendazoe, Joyce acha ushabiki simamia haki.

  Ni wazi kwamba wafuasi hai wa CCM ni waina mbili tu, yaani;
  1. Wenye masilahi binafsi na CCM au Selikali
  2. Wajinga au wasio na uelewa wa mambo
  Sasa basi, juhudi zetu ni kuelimisha kundi la pili kwani ndio lina watu wengi kuliko la kwanza, na matokeo mazuri sasa yanaonekana na pia siku za CCM zinahesabika.

  Kuhusu kuapishwa Mahanga, sina taarifa lakini naamini atakuwa kaapishwa, kama Sitta wamemng'oa itakuwa kuapishwa?
   
 4. i

  ifolako Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la mijitu mingine ujinga umewajaa hata kushindwa kutambua ukweli!Hivi leo akaja mpumbavu akikwambia eti rais wa Tanzania ni Mkapa nawe ukakubali basi wote ni wapumbavu.
  Aliyeapishwa ndiye mtawala wa eneo lake kama mbunge au rais,we ukikataa ni mpumbavu tena jinga tena gonjwa tena unahitajika mirembe.
   
 5. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mh! kuna jimbo lingine litakalokuwa wazi tumsimamishe dr slaaaaaa?
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hv wewe Joyce, nahisi fuvu lako la kichwa na ubongo vimepeana talaka ndiyo maana unaropoka ropoka ooh mara JK kumpa uwaziri Dr Slaa mara upupu kibao we vp??? nahisi wewe ni secretary unapokosa kazi ndo maana unakurupuka kuandika ujinga kama huu:A S angry: kama ulimpa Mahanga kura ni wewe peke yako
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  You must be kidding!!!! otherwise unafaidika kwa wizi wake or wewe ni mkewe (to be fair his concubine maana mkewe hajui hata kutumia computer)
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nyumba ndogo ya mwizi mahanga hiyoooooo eti tumempa kura au mmemsaidia kuiba
   
 9. n

  ngoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 574
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tayari kaapa na yuko ndani ya Bunge "Tukufu" ... hivi kwa nini likaitwa Bunge Tukufu wakati process ya kuingia huko imetawaliwa na mambo yaliyo kinyume na utukufu ?
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  KWELI HILO KUNDI LA PILI NDO ASILIMIA 90 WAPO HAPO!!
  Tukichagua upinzani itatokea vita.
  ccm imeyuletea uhuru
  CCm ya Kambarage
  huuu ndo ujinga kabisaaa!
   
 11. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160

  Huyu Joisi Paulo yuko kundi la pili !!
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  duhh aisee wewe kama umeolewa basi mumeo ana kazi kweli!!! yaani kila mahali upo mara segerea ,mara mbulu mara kilombero!! kheee..Ningekuita jina flani lakin inaogopa BAN
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  afadahali angekuwa secreatary yaani huyu ni mama ntilie pale magomeni karibu na travertine..
   
 14. minda

  minda JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mkuu usitumie neno jambazi kwani huenda ukalazimika kuthibitisha hilo.

  hata hivyo naungana nawe kusikitika kwamba ni kweli mahanga amekula kiapo japo tulipenda sana awe mpendazoe.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Alituma vijana (waliokuwa wameahidiwa milioni 10) kukwapua matokeo ya kura za udiwani kimanga, bahati mbaya walikwapua, galasa.

  Mtu kama huyo utamuita nani?

  Anyway, jimboni kwetu Segerea tunamuita hivyo, hilo la kuthibitisha ni lako.
   
 16. minda

  minda JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mpendazoe loses Send to a friend Wednesday, 03 November 2010 10:47 digg

  Frederick Mpendazoe, who was contesting Segerea parliamentary seat in Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ticket has lost to Dr Makongoro Mahanga of Chama Cha Mapinduzi (CCM).

  Results announced recently show that Dr Mahanga has obtained more than 43,000 votes while Mr Mpendazoe got over 39,000 vote



  sourcc: the citizen
   
 17. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muache ale kiapo ashibe vizuri. Lakini kwa ushahidi uliopo uchaguzi utarudiwa tu na atapigwa chini na wananchi
   
 18. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  IQ below average ...! halafu nyie ndo mkipata mimba mnalala watu wawili kitanda kimoja...pamoja na mimba zenu..!
   
Loading...