Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
source of data
source of data
Chadema imetetea jimbo la Mpanda Mjini, CCM imepata majimbo ya Nkenge, Mpanda Vijijini na Magogoni Zanzibar, CUF wamepata Jimbo la Mtoni, Mwanakwerekwe na Wete.
CUF imeongeza majimbo mawili mengine kutoka Unguja.
hali halisi chadema inakubalika kwa wasomi tu
hali halisi chadema inakubalika kwa wasomi tu
Nyang'ware,Mbozi Magharibi,Bukombe,Maswa mashariki, Maswa Magharibi na ukerewe kuna wasomi wengi kuliko kinondoni na Ilala ?Kama hii siyo kweli basi umeeongea pumba mtu wangu!!
What will be the impact in terms of special parliamentary seats?Mbona matokeo haya yamewahi sana kutangazwa, leo saa 1 asubuhi kwa majira ya E.A matokeo yalikuwa tayari, mbona wa 31st yalichukua week nzima, NEC tuelezeni tuelewe.
Wewe hujui kama CUF Zanzibar ilishinda kwa 53% wakachakachuaCUF imeshinda majimbo mengine Unguja!! Hii inazidi kutia shaka kutangazwa kwa Shein kama mshindi wa Urais Zanzibar.
What will be the impact in terms of special parliamentary seats?
Nyang'ware,Mbozi Magharibi,Bukombe,Maswa mashariki, Maswa Magharibi na ukerewe kuna wasomi wengi kuliko kinondoni na Ilala ?Kama hii siyo kweli basi umeeongea pumba mtu wangu!!
Kwa hesabu hii inamaana CUF watakuwa na 35+ CHADEMA 43. Kwahiyo inamaana CUF wakiongeza na NCCR +TLP +UDP wanaweza kuwazidi CHADEMA?
Wadau mnaofahamu mahesabu haya tufahamisheni? Chadema na wale wengine (CUF, TLP, NCCR +UDP) kambi ipi yenye wabunge wengi?
Kwa hesabu hii inamaana CUF watakuwa na 35+ CHADEMA 43. Kwahiyo inamaana CUF wakiongeza na NCCR +TLP +UDP wanaweza kuwazidi CHADEMA?