Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Katika pitapita zangu jijini Dar nimegundua kitu kimoja kilichonishangaza. Hawa mabalozi wa nyumba kumi-kumi wa CCM ni vikongwe, wengi wao tayari wamo, au wanaingia katika umri wa miaka 70 au zaidi.
Ukichunguza kila nyumba yenye bendera ya CCM utagundua mjumbe wa kumi-kumi ni mzee, hakuna kijana.
Inakuwaje? Kwani ndani ya CCM hakuna vijana ambao wanaweza kushika nyadhifa hizo?
Ukichunguza kila nyumba yenye bendera ya CCM utagundua mjumbe wa kumi-kumi ni mzee, hakuna kijana.
Inakuwaje? Kwani ndani ya CCM hakuna vijana ambao wanaweza kushika nyadhifa hizo?