Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Leo kwenye Channel Ten jamaa wa SYNOVATE wamejitokeza na kudai kipaumbele chao kwenye uchaguzi huu kilikuwa ni amani bila ya kueleza wao wangeliweza kufanya nini kuimarisha amani hiyo.........................
Kwa mtazamo wangu labda hata uchakachuaji wa kura ya maoni waliona ni mchango wa kuendeleza amani huku wakisahahu hata kabla wao hawajaanza shughuli zao hapa nchini amani ilikuwepo.....................na isitoshe hawakueleza kama makubaliano yao na UNDP waliokuwa wakiwafadhili kama walikubaliana wawe wanatoa kura za maoni mara chache hivyo ikilinganishwa na Kenya ambako kura za maoni ni kila baada ya wiki mbili au tatu hivi wakati uchaguzi bado ni miaka miwili hivi hadi 2012............