Rpcs ruksa kuhamia chadema waanze wake zenu na ndugu wa karibu. Majina yenu yatatunzwa mkistaafu tutajua tufanyeje. Hivi hii style ya kuharibu ajira za watu ccm hawaioni kama ni ya zamani sana? shame on you CHAMA CHA MAJIZI !!!!!!
source soma gazeti la mwananchi la 13 nov,rpc na rco wa shinyanga pamoja na mkuu wa kitengo cha mawasiliano wote wamehamishiwa makao makuu ya polisi,rco wa kilimanjaro nae kaenda makao makuu ya polisi
Ile issue ya Mzee Mengi haikupikwa ilikuwa kweli......, sema waliwahi kuharibu baadhi ya ushahidi ambao ungemuunganisha Nzowa moja kwa moja... maafande ni noma..
serikali inajipa shida tu bure...ila sidhani kama itakua kigezo ni uchaguzi.
Maana ukiwa mtumishi wa serikali kwenye level ya RPC then ukihamishwa mkoa ni bahati maana hela utakayolipwa inatosha kujenga nyumba au kununua gari jipya la kisasa kabisa.
Hawajui kwamba yote haya wananchi wanaona, siku watawauliza waliyafanya kwa manufaa ya nani. Hii issue siyo ya kuilazia damu, inabidi ilipotiwe UN ili jumuiya ya kimataifa ijue kwamba viongozi wa nchi hii ni mafia wa chini kwa chini.
Mengi lazima alikuwa sahihi sana,kama asingekuwa sahihi wangemshitaki si unajaua tena kugusa POLISI?kukaa kimya maana yake nini?
yaani hii nchi inaliwa na wajajnja tu:nono::nono::nono:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.