Elections 2010 Baada ya kushida kiti kingine cha Ubunge Chadema itakuwa na wabunge wangapi?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
543
Chadema imeshinda kiti kingine cha Ubunge cha Mpanda kati hivyo kufikisha wabunge 23 + 23 = 46, je itaongezewa viti vingapi maalum?
 
Viti maalum hupewa chama kutokana na idadi za kura za kiti cha urais.
wamefanya hivi makusudi ili kupendelea chama kinachoshinda kupata idadi kubwa ya viti bungeni ili kuongeza wingi wa wabunge hasa kwenye ile miswada tata inayohitaji kuliburuza bunge kuipitisha.
 
kauli ya jana ya chama ni kauli nzuri kwa uimarishaji wa chama.naongea haya kwa kuwa inawajenga vizuri watanzania kifikra na kisaikolojia ivyo watu watakuwa na imani kwa chama. huu ni mkakati tosha wa mwaka 2015
 
Haya Watanzania kazi kwenu kwani mnamjua Rais wenu mioyoni.Wabunge wa Chadema fanyeni kazi kwani Watanzania wanawategemea.
 
Safi sana!!!!!!Wakombozi wetu,timu inaridhisha chapeni kazi msiwape mafisadi na vibaraka wao nafasi Bungeni.
 
Back
Top Bottom