Kuzuia wastaafu wa Afrika Mashariki kuandamana, Huu ni Woga au nini?

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
1,305
Likes
8
Points
0

Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
1,305 8 0
Kitendo cha watendaji wa serikali kuzuia wastaafu wa Afrika Mashariki kufanza maandamano yao kudai haki zao zilizokwamishwa na serikali kwa miaka zaidi ya 30, ni ishara gani? Ni woga au sababu za serikali zinakidhi kumzuia haki za kikatiba za wazee hawa? Kwa mtizamo huu, haki ya kikatiba inaminywa kwa woga wa watawala, hadi lini?
 

Forum statistics

Threads 1,203,280
Members 456,683
Posts 28,107,402