Leo wakati naisoma katiba katika ibara inayotoa muongozo wa Tume ya uchaguzi nilikutana na uozo wa karne. Pamoja ya kuwa karibu vipengele vyote vina shida kubwa tu, lakini hii hapa imevunja rekodi.....
......Ibara ya 74 (12) Hakuna mahakama yoyote itakayokuwa na mamlaka ya
kuchunguza jambo lolote lililotendwa na Tume ya Uchaguzi katika
kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii......
Hapa ndipo Dr Slaa na CHADEMA walipogonga mwamba, hata kama wangeshinda kura za wananchi, wasingeweza kushinda kura za NEC...!!!