Kutoka Bungeni kwa wabunge wa CHADEMA kwaleta hisia tofauti Newyork | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka Bungeni kwa wabunge wa CHADEMA kwaleta hisia tofauti Newyork

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKUU WA WAKUU, Nov 19, 2010.

 1. M

  MKUU WA WAKUU Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitendo cha wabunge wa CHADEMA kutoka bungeni jana kimetafsiriwa kama udhaifu mkubwa kwa raisi wetu JK na pia kinaonyesha kuwa wananchi na wabunge hawana imani na serikali ya huyo bwana.

  Viongozi kadhaa wanaohudhuria mkutano wa maendeleo wa nchi za Caribean wanasema jambo lililofanyika jana huko Tanzania ni historia na ni nchi chache sana duniani zinazoweza kufanya kitendo kama kile. Inasemekana Ireland ndio nchi pekee ya Ulaya ambayo wabunge wa upinzani wamekuwa mara nyingi wakitoka bungeni wakati waziri mkuu akiwa anahutubia.

  Ploe JK upinzani wa kweli umeingia bungeni
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aisee, natamani kuiamini hii habari kisha nikapate kilainisha koo...
   
 3. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  tusaidie source yako ili itusidie kuwaeilimisha watanzania vilaza huku nyumbani.
   
 4. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hawa jamaa wa New York tuwaeleweje???????????? Si ilikuwa waandamane, yaliishia wapi???????? Kumbe ni mbuzi katika ngozi ya kondoo????????????????????????///// Tuwajue!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. K

  King kingo JF-Expert Member

  #5
  Nov 19, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu leta source ya hii habari
   
 6. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #6
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  ungeweka link tukapata hiyo habari ingependeza sana
   
 7. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jamani vp mbona watumia avatar yangu yakhe? Kabla sijaangalia jina nilidhani kuna mtu kani hack
   
 8. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Jana nilisema kwenye ukumbi kuwa walichofanya CHADEMA ni kitendo cha kishujaa. CCM na vikaragosi vyake CUF,UDP,TLP na NCCR watabeza na kuzomea lakini WAJUE THE MESSAGE HAS BEEN SENT ALL OVER THE WORLD.

  Wasubiri matokeo.
   
 9. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Matokeo ni kwamba imeanza kula kwa Chadema.

  Hata Mhe Mbowe anaonekana kulainika ili kukwepa lawama za kusababisha wabunge wake kupigwa stop bungeni.

  JK na Serikali yake watambuliwe ili yaishe. Tunamaliza muda mwiingi kulumbana kwa mambo ambayo hayana tija.
  Wananchi watatupa kura tena kweli kwa vitendo hivi vya kihuni?

  Tumejimaliza wenyewe, sasa tunachekwa na kila mtu ndani na nje ya nchi. What a shame!
   
 10. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  inabidi dunia itambue kuwa watanzania wana madai ya msingi, katiba mpya yenye kuzingatia ujenzi wa democracy, sasa tumepata wawakilishi wa kweli wenye kuthubutu kudai haki kwa vitendo na si kwa maneno, watanzania tupo nyuma yenu na tunawategemea move hii haitozimwa hadi kieleweke.
   
 11. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  wananchi wanataka mabadiliko hasa ya katiba ili kiongozi ak
   
 12. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Ndugu, mwenzio alishatangulia kuwa na hiyo avatar, chagua nyingine basi! si unaona amekuuliza, usiuchune.
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh ufisadi kila kona siku hizi mamaaa
   
 14. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Kishongo soma hii ya Warusi(Vyama vya Upinzani) waliotoka nje ya Ukumbi wa Bunge kupinga matokeo ya Kura kama walivofanya CHADEMA.
  Swala la kuabika nje na ndani halipo Mhe.Kishongo. Hii ni sehemu ya Kikatiba ya upambanaji katika kudai haki.


  Russian opposition parties walk out of Parliament, in protest of election results

  Thu 15 Oct 2009 [​IMG]
  On 14 October three Russian opposition parties walked out of Parliament in a rare act of protest against the local poll held on 11 October. The parties also threatened to raise mass demonstrations against the election results which they say were rigged and turnout was much lower than reported. Official results showed Prime Minister Vladimir Putin's United Russia party - backed by President Dmitry Medvedev- winning nearly every poll by a wide margin, including in the capital Moscow.  Opposition critical for the first time
  None of the three protesting parties -the nationalist Liberal Democratic Party (LDPR), the A Just Russia party, and the Communist Party -is usually critical of the Kremlin. Liberal opposition parties are not represented in Parliament and are marginalized in state media.

  The ultra-nationalist LDPR was the first to blame PM Putin for an unworkable system and demanded a vote recount at every polling station after accusing United Russia of having "fraudulently appropriated" his party's votes. LDPR leader Vladimir Zhirinovsky, who led the walkout, said, "We demand a meeting with President Medvedev." Also, head of the Communist Party, Gennady Zyuganov, said his members would boycott the Duma until they were granted a meeting with the President. The Communists said they were also considering a Supreme Court appeal. "What's the point in having a legal system and laws if they only suit one party?"Vadim Solovyov, a Communist Party MP said. "Putin's system of government makes no sense and it simply doesn't work." Solovyov also said Russia's political situation had "fallen to a new low". At least during the Yeltsin era we kept some Soviet systems that worked. But with Putin, it's pointless and Russia's the worst it has been", he said.

  Mr Putin dismissed the protests, saying: "Those who don't win are never happy." Russia's Central Election Commission chief Vladimir Churov, commenting on the surprise walkout, only said: "No comment. It is just politics." Churov has already called complaints about the elections as "improper hysteria."
   
 15. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumejimaliza wenyewe??? Nani wenyewe, kwani wewe ni CHADEMA?? Mimi nafikiri CHADEMA imejijengea msingi imara mbele ya wapiga kura wake. Wapiga kura wanataka kura zao zimebaki kama walivyopiga, no one should change their decision. Wabunge wa CHADEMA wamewawakilisha vizuri kabisa wapiga kura wake kwa kudai haki kwa niaba yao. Mimi kwanza sikuwa mwanachama wa chama chochote lakini baada ya CHADEMA kuonyesha msimamo imara sasa nitaenda kununua kadi ya CHADEMA na kushawishi watu wengine pamoja na wewe kujiunga na CHADEMA ili kutetea haki za wananchi Tanzania.
   
 16. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Mnamkumbuka yule congressman wa South Carolina aliemwuumbua Obama na kumwambia " You Lieeeee!!" wakati Obama akiwa anahutubia Congress last year? Sasa jipya hapa liko wapi? Angalau Chadema wameonyesha respect, next time Mbowe anatakiwa amfokee JK " You lie!"
  Badilikeni wadanganyika! Welcome to the real politics and democracy!! ha ha ha
   
 17. muya

  muya Member

  #17
  Nov 20, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  KAwaida ya wambea habari zenu hazina source
   
 18. k

  kukubata Member

  #18
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivyo hivyo wata elewa kua chadema sio chama cha wapumbavu hiki chama cha wasomi
   
 19. Q

  Quizego Member

  #19
  Nov 21, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ......Kweli ndugu yangu habari za udaku always hazina Source
   
 20. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tunajua huku ni kuchanganyikiwa kwa wanachadema. Mlifikiri kupata urais ni kama kuchukua demu wa mtu? Shame on you all.
  Watu wenyewe njaa tupu. Mara waingie mara watoke kwani hawataki kukosa allowances.
  Kuweni kama wenzenu cuf waligoma kuingia bungeni miaka 3 bila kujali kama wanakosa ruzuku mpaka rais alipowaita wakakutana na kufanya majadiliano. Sasa nyinyi njaa zinawasumbua, halafu pia mmegawanyika kwani watu kama zitto na shibuda hawaungi mkono na wameweka wazi in public. Lakini pia nyinyi ni wachache sana tu watu kutoka majimbo 23 out of 239 is equal to almost nothing, kaifilieni mbali huko na vielement vyenu hivyo.
   
Loading...