Tahliso wameishia wapi???

drgeorge

Member
Jun 22, 2009
99
23
Hawa TAHLISO wanaojiita umoja wa vyuo vikuu japo hawana msaada wowote kwa wanafunzi wa vyuo na wala hatupo nao, wameishia wapi? walikuwa wanajaribu angalau kujionesha kuwa ni wema wakati tunawajua. Mbona Kimya, Noeli Katongo upoooooo?
 
Back
Top Bottom