Yupi kiognozi afadhali


Supa.engineer

Supa.engineer

Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
47
Likes
0
Points
0
Supa.engineer

Supa.engineer

Member
Joined Nov 20, 2010
47 0 0
Tunaposema kiognozi mwadilifu na mchapakazi ni sifa mbili ambazo si rahisi sana kuzipata kwa mtu mmoja. Watu wengi waadilifu sio wachapakazi kwamaana ya kuwa na fikra endelevu (Innovative). Ukimpa wizara utaikuta kama ulivyo mpa ila hakuna alicho kipoteza. Watu wengi ambao sio waadilifu ni wachapa kazi, wachachalikaji, na wanao chukua hata riski sometimes. ukimpa kitu hakubali kibakie vilevile lazima akiendeleze hata kama seheme ya atakacho kizalisha atakitia mfukoni. Jaribu kuangalia hata wanasiasa wetu kinacho tokea ni hikihiki. Tunaweza kuwa na kiongozi anaye pendwa na watu, mwadilifu, lakini maskini anawaza kulinda tu kile tu alicho pewa. Au tukawa na kiongozi mchapa kazi, kila siku kuna jambo jipya la maendeleo lakini maskini jamaa ni jizi acha kabisa. Sasa je yupi anauafadhali.:help:
 

Forum statistics

Threads 1,235,142
Members 474,353
Posts 29,213,175