mudushi
Senior Member
- Oct 19, 2010
- 151
- 86
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye huyu binti kachakachuliwa. Walio karibu nae wamstue jamani kuwa Opposition imefanya tremendous job.