Wana JF,
Wakati serikali za wenzetu wa Magharibi zikichukua hatua ngumu za ki-state ili kurekebisha mgogoro uliopo na utakaokuja wa hali mbaya ya kiuchumi, sisi ni kama hatutumii mwanya huu...
Jamani nimeona siku za karibuni kuna watu ambao wamejiunga katika mbio za kutoa maoni kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba Mpya. Na wengi ya viongozi hawa ni wa CCM ambao siku zilizopita hawakuona...
Check this out.......
Highest mountain in Africa; Three Biggest Lakes in Africa; Plenty of rivers... and waterfalls; Minerals including Tanzanite (only found in Tanzania); Plenty of land which can...
Wadau: Ni kweli asemayo huyu mjamaa, kwamba ana majukumu mengi? Kufuatana na katiba iliyorekebishwa, majukumu yake ni kiduchu sana vipi ataelemewa? Ama anaanza kupora majukumu ya wengine? CCM...
We might think as Tanzanians we are the only ones who found the just ended general elections as a joke if not an insult to our intelligency. Members of the international community who wish...
:behindsofa:
Ofisi ya bunge ni sehemu ya ofisi za serikali katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbunge ni mmoja kati ya wachaguliwa na wananchi wanaofanya shughuli za Baraza kuu la kutunga...
wakuu wangwe ameukwaa umakamo wa chadema.
anasema matumizi ya helikopta hayana faida na mkuu wa nyumba mbowe asema itatumika mambo hayo wakuu.
nn next?
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema
Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+
Nitaendelea kuwajuza
Wadau Natambua umuhimu wa Tume huru , lakini sijafahamu mambo haya labda ninaweza kupata mawazo yenu:
1. Ni namna gani unaweza fanya Chama Tawala kisiwe na influence kwa Tume ya Uchaguzi?
kwa...
Chama cha demokrasia na maendeleo kimetunuku Medali ya heshima na ujasili Mzee sabodo kwa kukichangia chama hicho waziwazi.
Pia ameahidi kukichangia tena chama hicho Milioni 150.
ITV.
I have been thinking why these political leaders in Africa are so greedy???!! Many of them like things that are unnecessary and too much luxury everytime...
Hapa Tanzania Kwetu ni hatari kabisa...
JK akizundua vitabu viwili (cha kiingereza na kiswahili) kwa wageni waliohudhuria hafla hiyo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho akishuhudiwa na Mama Salma Kikwete na mwandishi wa kitabu hicho...
Pamoja na ukweli gazeti la Uhuru siyo kipenzi cha wana-JF lakini ukweli unabaki palepale kuwa kwa vile lipo mtaani habari zake yapaswa kuripotiwa na kutathminiwa kwa manufaa ya...
RIP Chadema
Mimi nilisema kuwa chadema haitachukua miaka 2 sasa hivi wanaweza kujizika wenyewe
Je nani atawasadia kuwafunika maana mlango umeishafunguliwa?
Inasikitisha kuona viongozi wengi wa vyama vya upinzani Afrika wanaamua kuungana na viongozi wa vyama tawala katika nchi mbalimbali Afrika eti kwa kisingizio cha kudumisha amani.
Lengo la chama...
MTANDAO huru wa asasi za kiraia zilizojikita kufanya uangalizi wa Uchaguzi Mkuu Mkuu 2010 (TACCEO), umetoa ripoti kuhusu uchaguzi huo huku ukipendekeza mabadiliko ya katiba na kuundwa kwa tume...
Wabunge 40 hatarini
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 10th December 2010 @ 23:59
LICHA ya kuapishwa na kuanza kuwatumikia wananchi, nafasi za wabunge 39 kati ya 239 walioibuka washindi...