Tume huru ya uchaguzi ,iundweje ?


T

TanzActive

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Messages
350
Likes
0
Points
33
T

TanzActive

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2007
350 0 33
Wadau Natambua umuhimu wa Tume huru , lakini sijafahamu mambo haya labda ninaweza kupata mawazo yenu:

1. Ni namna gani unaweza fanya Chama Tawala kisiwe na influence kwa Tume ya Uchaguzi?
kwa kuwa ukisema bunge Ndo liunde tume na tume iwajike kwalo, basi Bunge lina wabunge wengi wa CCM yatakuwa yale yele !!!!.

2. Unawezaje kuwapata wajumbe wasion na mwelekeo wa upande wowote wa siasa ,maana hata wale wasio wanachama wa chama chochote bado wana mapenzi na chama fulani ?

Tafadhali tuelimishane kwa hili
 
Kaa la Moto

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,700
Likes
202
Points
160
Kaa la Moto

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,700 202 160
Waombe kazi kama watu wengine waombao kazi na kufanyiwa interview kisha wajadiliwe na vyama vya siasa uadilifu wao wapitishwe bungeni kuidhinishwa.
Wakati huo huo zitungwe sheria kali zitakazowabana wanapofanya makosa kama yaliyofanyika mwaka huu.
Mwisho maamuzi yao yasiwe ndio ya mwisho bali kama kuna mahali wamekunya kuwe na ruhusa kuwa challenge mahakamani.
 

Forum statistics

Threads 1,236,929
Members 475,327
Posts 29,273,287